Baada ya kumaliza muda wake IPU, usalama wa Tulia Ackson unarudi daraja moja la Nchimbi na Polepole.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson.
Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole.
IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace.
Kwa hiyo a jitahidi sana kutokuwa huru na maoni yake.
Kila la heri Tulia
 
Hii nchi unafiki ni mwingi sana
20260403_082937.jpg
 
Kila MTU atashika Adabu kwa muda wake
 
Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson.
Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole.
IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace.
Kwa hiyo a jitahidi sana kutokuwa huru na maoni yake.
Kila la heri Tulia
Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson.
Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole.
IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace.
Kwa hiyo a jitahidi sana kutokuwa huru na maoni yake.
Kila la heri Tulia
Kwa kuwa alikuwa ni miongoni mea walezi wahaya mambo tangu akiwa Nani spika,spika na baada ya uspikana baada ya ule wa IPU Acha naye kimlambe.
 
Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson.
Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole.
IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace.
Kwa hiyo a jitahidi sana kutokuwa huru na maoni yake.
Kila la heri Tulia
IMG-20260829-WA0027.jpg
 
Mnapenda kutishia watu sana. El nino hiyo hapo pambaneni nayo. Kama mngejua Kuna janga la Dunia msingeua watu ili muingie madarakani
 
Back
Top Bottom