Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Sehemu kubwa ya maisha ya mwadamu yametawaliwa na maangaiko. mfano:-
- Kuanzia umri wa miaka 0-5 yupo huru
- Miaka 6-25 au zaidi yupo kwenye miangaiko ya shule
- Miaka 25-70 yupo anapambana na kazi ili apate mkate wa kila siku.
- Miaka 70-75 yupo huru
- Baada ya hapo ni kifo
Kwa hiyo, muda wa kuwa huru kwake ni mchache sana.
Aya chagua mwenyewe, kuwa huru au kuangaika.
Aya chagua mwenyewe, kuwa huru au kuangaika.