BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Mimi makebo yangu ni furaha tosha.Ili yaitwe maisha hayo mambo yanahitaji kuwepo!
Kila nikijiangalia kwenye kioo roho yangu kwatuu!
Mimi makebo yangu ni furaha tosha.Ili yaitwe maisha hayo mambo yanahitaji kuwepo!
Bora zinyeshe tukawe huru mbinguniMkuu Equation x vp huko mvua imeshaanza?
Hahahaaaaaa never give up mkuu... tuendelee kufanya maandaliziBora zinyeshe tukawe huru mbinguni
Yule Mzee alitukosea sana Sisi wajukuu zake, kwa kosa la kutosikia Tu na kupenda mafemuLawama zote apewe Adamu wa biblia
Gen Z ni janga la kidunia, kila kitu wanataka kurahisishiwa tu yani, huko mbeleni kuna majitu hata kujamiiana yatakuwa yanaona ni kazi ilihali wahenga wa 1920 - 1990 ni starehe.Ili yaitwe maisha hayo mambo yanahitaji kuwepo!
Tuoneshe nasi tukwatuke mkuu☺️Mimi makebo yangu ni furaha tosha.
Kila nikijiangalia kwenye kioo roho yangu kwatuu!
Kabisaa mkuu!Gen Z ni janga la kidunia, kila kitu wanataka kurahisishiwa tu yani, huko mbeleni kuna majitu hata kujamiiana yatakuwa yanaona ni kazi ilihali wahenga wa 1920 - 1990 ni starehe.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
😂😂 Usijibane ukafa kwa stress la mamaaAisee anayekutotolea naye moyo anao🙆🏽♀️
Katika vitu ambavyo sivitaki cha kwanza ni hicho! Stress over stress🙌🏾😂😂 Usijibane ukafa kwa stress la mamaa
Tafuta sababu yoyote ya kupiga vituu ukae kiaskariii....Katika vitu ambavyo sivitaki cha kwanza ni hicho! Stress over stress🙌🏾
Kabisaa!! Sababu zisikosekane, especially this dec💃🏽Tafuta sababu yoyote ya kupiga vituu ukae kiaskariii....
Haha tukumbushane ratiba za vikao vya dizembaa ikifika😂😂🍺Kabisaa!! Sababu zisikosekane, especially this dec💃🏽
December kila mtu anatafuta pa kupumulia! Ni mwendo wa retreat! Sasa hivi tubanane tu..!Haha tukumbushane ratiba za vikao vya dizembaa ikifika😂😂🍺