Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Mungu.. Si ndio alituagiza lakini?😂Sasa unamzalia nani hao future kids
Mungu.. Si ndio alituagiza lakini?😂Sasa unamzalia nani hao future kids
Ndio, lakini hakuna faida yoyote zaidi ya hasara.... Wewe hapo ukipewa option ya kuzaliwa au kutokuzaliwa utachagua kutokuzaliwa.Ili yaitwe maisha hayo mambo yanahitaji kuwepo!
Heka heka za umeme kukatika , madimbwi kila kona , ukosefu wa ajira na maji , mishahara duni hii na nk ni kazi ya mbogambogaIli yaitwe maisha hayo mambo yanahitaji kuwepo!
Kivip baby boy...Mimi kama little boy nipo huru kwa jina la YESU
Aisee anayekutotolea naye moyo anao🙆🏽♀️Mungu.. Si ndio alituagiza lakini?😂
Maisha ni kuchagua mkuu, hata imani inashauri uwe moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu!!!Achana na mambo ya imani/kusadikika; China iliweka pembeni imani, sasa hivi ni nchi yenye viwanda vingi vya kila aina.
Kwanini nichague kutozaliwa?Ndio, lakini hakuna faida yoyote zaidi ya hasara.... Wewe hapo ukipewa option ya kuzaliwa au kutokuzaliwa utachagua kutokuzaliwa.
Kwanini basi utembee na hisia badala ya ufahamu?
Inawezekana pia, kwahiyo tuendelee kuwa wapole tu!Heka heka za umeme kukatika , madimbwi kila kona , ukosefu wa ajira na maji , mishahara duni hii na nk ni kazi ya mbogamboga
AiwandaKwanini nichague kutozaliwa?
Kutumia ufahamu lazima
Uweze ku reason kwa kugumia logic, tofauti na hapo wote tutabaki kwenye hisia tu.
Ananijua mkuu....K
Kivip baby boy...
Maana Yesu mwenyew hakujui
Yesu hakujui kijanaAnanijua mkuu....
The LORD is my shepherd!!!
Wew unahis Yesu alitumwa kwenu huko upareni.Ananijua mkuu....
The LORD is my shepherd!!!
Ok! ni maoni yako mkuu... nayaheshimu maana hatuwezi kufanana mkuu...Yesu hakujui kijana
The LORD is my SHEPHERD!!! I shall not want........Wew unahis Yesu alitumwa kwenu huko upareni.
Chukua kitabu,anza kusoma upya
Tatizo mnasomea baadhi na baadhi mnafichwa ili muendelee kutoa sadakaOk! ni maoni yako mkuu... nayaheshimu maana hatuwezi kufanana mkuu...
Kama yapi mkuu....Tatizo mnasomea baadhi na baadhi mnafichwa ili muendelee kutoa sadaka
Au na ww ni katika wana wa Israel, baby boyOk! ni maoni yako mkuu... nayaheshimu maana hatuwezi kufanana mkuu...