Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time.
Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya kutulia zangu jioni baada ya mihangaiko ya kila siku.
Sasa nimekaa hapa kuchunguza ni nini huwa kina nichukulia muda kwenye simu ni social media, hasa IG maana siku hizi imenijua kabisa, algorithm wananiletea maudhui yale yale niyapendayo.
Nimejaribu kufuta, mara kadhaa ila nikifuta ndo huwa nakuja kurudi kwa nguvu sana. Sasa nikasema niwe na healthy relationship nayo ili niweze kutumia kwa muda chache ila Nashindwa ndugu zangu.
Sasa nimekuja kwenu wana JF mwenye namna bora na iliyo nzuri ya kuweza kuwa na healthy relationship na simu yake au digital gadgets hasa screen time, a nisaidie kwa mwongozo ulio mzuri na realistic kwa manufaa yangu na wengine wanapitia issue kama yangu.
Naamini mimi siye pekee ninae pitia hii issue, na huenda kuna mtu kama mimi ambae aliweza ku overcome. Itakuwa jambo jema kama utashare nasi namna nzuri ya kuweza kuepukana na hii addiction
Je, umefuta kabisa social media, unatumia strategy ipi kulimt matumizi, je kuna mindset ipi umejiwekea kuachana na kutamani kuendelea kutumia social media? Anything au mbinu yoyote unavyoona imeleta mabadiliko kwako share hapa maana I really need it na kwa msomaji pia.
Karibuni..