Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
- Thread starter
- #21
Hicho kitete huwa kunawakumba wengi sana ila sio mpaka kuumwa sasaKabisa .. hii Hali kisaikolojia Kuna namna wanaiita nimesahau kidogo.. yaani hii Hali ikikushika vizuri haswa Kuna namna unajisikia Hali ya kuumwa fulani hivi ukikosa hizo Taarifa na mbaya zaidi addiction inaenda mbali kiasi kwamba siku ikiwa na asilimia 15 ya chaji afu umeme hamna inakufanya kuwa kama mgonjwa wa malaria 🤣