Kuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako .tupe mfano wa biashara hizo?
Huu nao ni uzi tayari. Heading na maelezo vitu tofauti. Nilifikiri utakuja kuitaja kumbe na wewe unauliziaKuna baadhi ya biashara kama huna muda wa kuzisimamia ni bora ukaitunza tu pesa yako .tupe mfano wa biashara hizo?