A
Anonymous
Guest
Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma DC kuna wafanyakazi wa muda (temporary) hawalipwi mishahara yao zaidi ya miezi mitatu, na hata wakilipwa baada ya miezi hiyo wanalipwa mwezi mmoja.
Kila wakijaribu kufatilia wanatishiwa kufukuzwa kazi, wakimueleza Mganga Mkuu na DMO wanaambiwa watawalipwa.
Pia, kuna wakati wakihoji wanaambiwa mfumo unasumbua, Agosti 3, 2026 waliaambiwa wamewekewa fedha kwenye akaunti zao lakini walipo safiri kwenda benki hawakukuta chochote.
Wanafanya kazi za kufagia, kufua, kedeki, na kuasho, kubeba na kuchanganya baadhi ya dawa.