Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Je,
ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria?
Je,
hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali nchini kadiri alivyoyataja mwenywe, itafanya hukumu yake kutolewa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa?
Je,
kuna mdau yeyote yule wa Jf hajaona kwa macho athari za wazi kabisa za dhamira na nia ovu ya uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi kwa wapiga kura na waTanzania wote?
Je,
uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi ambao mtuhumiwa uhaini ana kiri kuutangaza na kuhamasisha katika maeneo mbalimbali nchini, hakujasababisha maafa ikiwa ni pamoja na wana usalama na walinzi wa amani na dola ya Tanzania, raia wa kawaida, wapiga kura, na watoto? Je, uasi ule aliouhamasisha kwa nguvu sana na kwa kufadhili wa mabwenyenye ya magharibi, haujasababisha, uharibifu wa mali za umma na za wananchi?, haujasababisha ulemavu wa kudumu kwa raia wasio na hatia, hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa na taharuki na athari nyingine kisaikolojia kwa wananchi?
Anakwepaje kuwajibishwa kwa adhabu kali kisheria hata kama amekiri kutenda kosa la uhaini?🐒
Mungu Ibariki Tanzania