Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

Shida hafuatilii submission mmekaa kishabiki.
ati?:pedroP:

kwamba nilichoeleza hakijafanywa na mtuhumiwa wa uhaini kizimbani, right?
Na kwamba mtuhumiwa uhaini hajakiri kufanya uasi, kuzuia na kuvuruga uchaguzi mbele ya mahakama?

jamaa unachukia ukweli wewe dah?:pedroP:
 
Kisheria ili ionekane amekiri kosa (admission of guilt) vipengele vya ukubalifu kati ya tendo na nia ovu angepaswa kuvikubali pasi na kutia shaka yoyote lakini hakuna mahali ambapo Lisu amekiiri kukubali kosa kama una sehemu umeona amekiri kwa kuhusisha ( nia na tendo ovu katika hoja zake zote tangu mwanzo wa kesi hii weka hapa iwe kama rejeo muhimu la kuipa nguvu hoja unayoijenga.
 
Kasema hakatai kwamba alitoa hiyo kauli. Na kwamba kaitoa hiyo kauli kwenye maneno Zaidi ya mawili na hakuna vurugu zilizotokea. Sasa swali alilouliza mahakama alimchochea nani. Maana uchochezi ulitakiwa utokee instantly.
Gentleman,
sasa ikiwa kakiri kufanya hiyo nonsense,
sasa unataka tuendelee kujadili nini badala ya kuendelea hatua inayofuata ya kitanzi ili kuoa muda?

hayo mengine nadhani ni porojo tu za kupotezea watu muda 🐒
 
Pia kauliza ni serikali ipi imechochewa? Maana kikatiba serikali inaanzia kwa Rais na kutishiwa kwa Mwenyekiti wa mtaa/ Kijiji.
Tanzania ina mamlaka moja ya kikatiba, kuchochea uasi, kuzuia na kuvuruga uchaguzi kutaka kupindua mamlaka halali ya kikatiba ni uhaini kamili ambao adhabu yake ni muhusika kunyongwa hadi kufa bila huruma wala aibu 🐒
 
Kasema hakatai kwamba alitoa hiyo kauli. Na kwamba kaitoa hiyo kauli kwenye maneno Zaidi ya mawili na hakuna vurugu zilizotokea. Sasa swali alilouliza mahakama alimchochea nani. Maana uchochezi ulitakiwa utokee instantly.
Uchochezi sio Lazima utokee instantly, unaweza kuwa soft organised in phases.Na swala la kamchochea Nani ni binadamu wa Tanzania sio mbuzi wa Tanzania
 
Kawauliza ni serikali ipi iliyotishwa, serikali ya kijiji, serikali ya mtaa au serikali ya zanzibar maana zote ni serikali kwa mujibu wa katiba, kama ni serikali ya JMT nani katishwa specifically rais, makamu, baraza la mwaziri, mkuu wa majeshi au mkuu wa mkoa upi ili nimuulize kama kweli katishika.
kwani muhaini alikusudia kuchochea uasi, kuvuruga na kuzuia uchaguzi lini na kwanini isiwe wakati mwingine?🐒
 
Uchochezi sio Lazima utokee instantly, unaweza kuwa soft organised in phases.Na swala la kamchochea Nani ni binadamu wa Tanzania sio mbuzi wa Tanzania
well done
thank you very gentleman 🤝
 
Kisheria ili ionekane amekiri kosa (admission of guilt) vipengele vya ukubalifu kati ya tendo na nia ovu angepaswa kuvikubali pasi na kutia shaka yoyote lakini hakuna mahali ambapo Lisu amekiiri kukubali kosa kama una sehemu umeona amekiri kwa kuhusisha ( nia na tendo ovu katika hoja zake zote tangu mwanzo wa kesi hii weka hapa iwe kama rejeo muhimu la kuipa nguvu hoja unayoijenga.
dhamira, nia ovu na athari za uovu huo wa huyo kibaraka zimemgusa kila mTanzania, unless unaishi mbinguni gentleman 🐒
 
dhamira, nia ovu na athari za uovu huo wa huyo kibaraka zimemgusa kila mTanzania, unless unaishi mbinguni gentleman 🐒
Ulochokiandika kinahitaji rejeo kutoka kwenye hadidu za rejea za mwenendo mzima wa kesi na siyo maelezo ya kihisia, wewe tuoneshee tu ni wapi amekiri hivyo tukubaliane na hoja hii
 
Akinyongwa nchi itapata faida ya kuwa na amani na utulivu.taifa litabaki salama
In fact,
hata uchumi wa wananchi ulioathirika vibaya sana kutokana na uchochezi wa huyo kibaraka utaimarika zaidi 🐒
 
Ulochokiandika kinahitaji rejeo kutoka kwenye hadidu za rejea za mwenendo mzima wa kesi na siyo maelezo ya kihisia, wewe tuoneshee tu ni wapi amekiri hivyo tukubaliane na hoja hii
Gentleman,
huenda hufuatilie hutuba ya mtuhumiwa anapowaaga wafuasi wake kupitia kizimba cha mahakama 🐒
 
Kasema hakatai kwamba alitoa hiyo kauli. Na kwamba kaitoa hiyo kauli kwenye maneno Zaidi ya mawili na hakuna vurugu zilizotokea. Sasa swali alilouliza mahakama alimchochea nani. Maana uchochezi ulitakiwa utokee instantly.

Kachochea watu sio
kwa wakati ule🫎 ‼️

kwa wakati ujao
Na wakati ujao ulipofika yakatokea yaleyale kayachochea tangu mwezi April 💪

Kasema kukinukisha kuzuiya Uchaguzi wa October japo kasema mwezi April
Lkn kamaanisha Uchaguzi wa October Uchaguzi ujao upo mbele yake ✅️

Na kweli kukatokea majaribio ya kuzuiya Uchaguzi 🫎✍️

Kwaiyo Maneno yake hayakuwa
ya Ewani tu ❌️

kama anavyojaribu kukumbatia kivuli ‼️

Maneno yake yamejenga tukio la kweli !

kukataa mahakama kuyaingiza kwenye Msingi wa kesi 👈

hakuna maana ndio kusema
Mahakama itayaona Maneno ya Lissu kwamba ni tishio la Eweni tu ❗️
kwamba hakuna kitu kimetokea kwa yale Maneno✍️
 
Kifungo kipo na jukwaaa lake kalitumia yani chama cha Chadema kinaenda kuchezea Ban sijui ya miaka mingapi 🫎🫎 Majaji wataamua ‼️
 
Nawakumbusha msiende na matokeo yenu vichwani
mwenu

Kama unaumwa presha usiende Mahakamani

Sababu Mahakama sio
Mzazi wako✍️
 
Back
Top Bottom