Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

Unaongea mambo usiyoyaweza.Mtu anasema alichofanya si kosa kisheria na amekupa Sheria husika wewe unashupaa eti kakiri kosa.
ni jambo zuri na muhimu sana kwa mtuhumiwa yoyote yule kuisaidia mahakama kwa kukiri kosa,

nadhani zaidi ya hapo ni porojo tu za kujaribu kutafuta huruma ya mahakama,
ni vizuri kuepuka kuwatuamia vibaya wafuata mkumbo wasio jua sheria na kuwadanganya kirahisi hivyo gentleman na itapendeza zaidi.

hata kama hawajua sheria, lakini wana haki ya kuambiwa ukweli kuhusu jambo hili :1Head:
 
Teh teh teheeeee,si mfanye maamuzi mbona mnaweweseka wakati mmemshtaki wenyewe,na nyie ndio wahukumu wenyewe
Gentleman,
inchi yetu inaongozwa kwa misingi ya sheria na katiba.

ulaitaka akikiuka sheria za Tanzania,
ashatakiwe na wamarekani na kisha ahukumiwe na waingereza sio?:1Head:
 
Mganga kukuokota na kukupiga salio alikusoma tu wewe Juha.
kwa faida ya wadau wa JF,
NA BILA KUA NA MIHEMKO USELESS,
UNAWEZA KUFAFANUA KWA KINA KIREFU KIDOGO GENTLEMAN KAMA HUTOJALI?:1Head:
 
Je,
ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria?

Je,
hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali nchini kadiri alivyoyataja mwenywe, itafanya hukumu yake kutolewa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa?

Je,
kuna mdau yeyote yule wa Jf hajaona kwa macho athari za wazi kabisa za dhamira na nia ovu ya uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi kwa wapiga kura na waTanzania wote?

Je,
uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi ambao mtuhumiwa uhaini ana kiri kuutangaza na kuhamasisha katika maeneo mbalimbali nchini, hakujasababisha maafa ikiwa ni pamoja na wana usalama na walinzi wa amani na dola ya Tanzania, raia wa kawaida, wapiga kura, na watoto? Je, uasi ule aliouhamasisha kwa nguvu sana na kwa kufadhili wa mabwenyenye ya magharibi, haujasababisha, uharibifu wa mali za umma na za wananchi?, haujasababisha ulemavu wa kudumu kwa raia wasio na hatia, hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa na taharuki na athari nyingine kisaikolojia kwa wananchi?

Anakwepaje kuwajibishwa kwa adhabu kali kisheria hata kama amekiri kutenda kosa la uhaini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Uki Mpumbavu usiwe mjinga, Lisu hausiani kabisa na MO29, Polisi wameua raia bila kosa, Maandamano yalipangwa mitandaoni, TIKTOK, INSTAGRAM na kwingineko, Lisu akiwa gerezani, mnampakazia mavi kwasabu ya kutaka huruma ya kimataifa, kwa hiyo acha upumbavu tunia akili yako, mpuuzi wahedi, unauna mavi yako yana thamani kuliko uhai wa watu? Itakusaidia nini kupata kila kitu duniani na kukosa uzima wa milele? Acha unafiki siku yako haiko mbali.
 
Kasema hakatai kwamba alitoa hiyo kauli. Na kwamba kaitoa hiyo kauli kwenye maneno Zaidi ya mawili na hakuna vurugu zilizotokea. Sasa swali alilouliza mahakama alimchochea nani. Maana uchochezi ulitakiwa utokee instantly.
Na alivyotaka Raisi, Makamu wa Raisi na Waziri mkuu waje mahakamani kutoa ushahidi kama ni kweli ndio walitishwa mahakama ikasema hii kesi haina umuhimu wowote wa hao kuwepo mahakamani patamu hapo
 
Uki Mpumbavu usiwe mjinga, Lisu hausiani kabisa na MO29, Polisi wameua raia bila kosa, Maandamano yalipangwa mitandaoni, TIKTOK, INSTAGRAM na kwingineko, Lisu akiwa gerezani, mnampakazia mavi kwasabu ya kutaka huruma ya kimataifa, kwa hiyo acha upumbavu tunia akili yako, mpuuzi wahedi, unauna mavi yako yana thamani kuliko uhai wa watu? Itakusaidia nini kupata kila kitu duniani na kukosa uzima wa milele? Acha unafiki siku yako haiko mbali.
Gentleman,
kwani uchaguzi mkuu aliokusudia kuuzuia na kuuvuruga huyo muhalifu ulikua ufanyike siku aliyotangaza kukinukisha?

ni lini alitarajia kuhamasha uasi tofauti na siku hiyo aliyoilenga kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu? :1Head:
 
Hii kesi mboga mboga wanataka kumfunga ili kuwafunga watu midomo,lakini uasi na ugaidi Kwa sasa yamekuwa maneno ya kawaida Sana katika nchi ya kusadikika, Kwa kuwa lisemwalo lipo lisipokuwepo laja,uasi na ugaidi wa kweli utatokea kwenye hii awamu mboga mboga wataendelea kujichimbia shimo lao wenyewe ni suala la muda tu, na wakimalizana na Lisu watarudi kuvurugana wenyewe watapasuana hadharani tununue popcorn nyingi hii movie bado ni mpya Sana.
 
Watu wa ccm niwapumbavu sana aise!! Hii kesi yakijinga kuwahi kutokea alafu wewe jamaa upo sawa kichwani kweli??? Mnaacha kujiuliza mambo ya msingi kabisa mnadili na upuuzi huu!! Nyie kama vidume kweli muulizeni mwenyekiti wenu bandari ya dar mkataba uko wapi, na kama kweli mnataka mambo ya mahakama tuanze na huu mrundikano wa mali za viongozi wenu akiwemo mwenyekiti wenu watuambie wamepata wapi?! Huyu lissu mlipaswa kumtumia vizuri kwa faida ya taifa ni mwanasheria mzuri angefaa kutusaidia waizi wote wa hii ichi
 
Mitandao uwa inatunza kumbukumbu kwa miaka ata 100 ijayo, ivyo sio vema kuonyesha hadharani kuwa hauna akili wala elimu.

Utawapa wakati mgumu sana wajukuu zako uko mbeleni.
 
Gentleman,
kwani uchaguzi mkuu aliokusudia kuuzuia na kuuvuruga huyo muhalifu ulikua ufanyike siku aliyotangaza kukinukisha?

ni lini alitarajia kuhamasha uasi tofauti na siku hiyo aliyoilenga kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu? :1Head:
Kwa hiyo alitoka gerezani kwenda kuvuruga uchaguzi.
 
Watu wa ccm niwapumbavu sana aise!! Hii kesi yakijinga kuwahi kutokea alafu wewe jamaa upo sawa kichwani kweli??? Mnaacha kujiuliza mambo ya msingi kabisa mnadili na upuuzi huu!! Nyie kama vidume kweli muulizeni mwenyekiti wenu bandari ya dar mkataba uko wapi, na kama kweli mnataka mambo ya mahakama tuanze na huu mrundikano wa mali za viongozi wenu akiwemo mwenyekiti wenu watuambie wamepata wapi?! Huyu lissu mlipaswa kumtumia vizuri kwa faida ya taifa ni mwanasheria mzuri angefaa kutusaidia waizi wote wa hii ichi
Brother, tunakosea sana mleta uzi hajagusia chama kwenye mada tusitumie sana mihemko kuchangia, nadhani tujikite kwenye kupata ukweli "alikiri au hakukiri?" Kama alikiri kweli ushahidi uwekwe, kama hakukiri napo ushahidi uwekwe.

Sheria zetu zinaasemaje kuhusu ukiri (admission of guilt)? Kwa sababu kosa litapatikana tu itakapoonekana alizivunja. Kama haya yote yapo basi ni suala la kukubali kuwa alikiri au kama hayapo ni suala la kupinga kwa kuonesha siyo kweli.

Kwa mfano, Mimi ninapinga hakuna mahali katika mawasilisho ya kesi hiyo ambapo panaonesha pasi na shaka " without reasonable doubt" kuwa amekiri kwa kuonesha uwiano wa moja kwa moja kati ya nia na tendo.

Haipo haja ya kumkebehi mtu, kutukana kundi fulani na mtazamo wao ila ipo haja ya kutoa michango yetu ya hoja kwa staha na busara ili kuufahamu ukweli.
 
Gentleman,
inchi yetu inaongozwa kwa misingi ya sheria na katiba.

ulaitaka akikiuka sheria za Tanzania,
ashatakiwe na wamarekani na kisha ahukumiwe na waingereza sio?:1Head:
Teh teh teheheeeeeee
 
Je,
ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria?

Je,
hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali nchini kadiri alivyoyataja mwenywe, itafanya hukumu yake kutolewa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa?

Je,
kuna mdau yeyote yule wa Jf hajaona kwa macho athari za wazi kabisa za dhamira na nia ovu ya uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi kwa wapiga kura na waTanzania wote?

Je,
uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi ambao mtuhumiwa uhaini ana kiri kuutangaza na kuhamasisha katika maeneo mbalimbali nchini, hakujasababisha maafa ikiwa ni pamoja na wana usalama na walinzi wa amani na dola ya Tanzania, raia wa kawaida, wapiga kura, na watoto? Je, uasi ule aliouhamasisha kwa nguvu sana na kwa kufadhili wa mabwenyenye ya magharibi, haujasababisha, uharibifu wa mali za umma na za wananchi?, haujasababisha ulemavu wa kudumu kwa raia wasio na hatia, hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa na taharuki na athari nyingine kisaikolojia kwa wananchi?

Anakwepaje kuwajibishwa kwa adhabu kali kisheria hata kama amekiri kutenda kosa la uhaini?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
****** WA MAMA YAKO UNATOA UTOKO
 
Brother, tunakosea sana mleta uzi hajagusia chama kwenye mada tusitumie sana mihemko kuchangia, nadhani tujikite kwenye kupata ukweli "alikiri au hakukiri?" Kama alikiri kweli ushahidi uwekwe, kama hakukiri napo ushahidi uwekwe.

Sheria zetu zinaasemaje kuhusu ukiri (admission of guilt)? Kwa sababu kosa litapatikana tu itakapoonekana alizivunja. Kama haya yote yapo basi ni suala la kukubali kuwa alikiri au kama hayapo ni suala la kupinga kwa kuonesha siyo kweli.

Kwa mfano, Mimi ninapinga hakuna mahali katika mawasilisho ya kesi hiyo ambapo panaonesha pasi na shaka " without reasonable doubt" kuwa amekiri kwa kuonesha uwiano wa moja kwa moja kati ya nia na tendo.

Haipo haja ya kumkebehi mtu, kutukana kundi fulani na mtazamo wao ila ipo haja ya kutoa michango yetu ya hoja kwa staha na busara ili kuufahamu ukweli.

Hii kesi nani asiyejua ni kesi ya kisiasa? Na hapo sio kukiri kama kweli sheria itafuatwa akafungwa lissu basi tujiandae wanasiasa wengi kwenda jela!!! Maana zile ni kauli za majukwani…… sawa swali la msingi nani alitishika. Serikali? Vyombo vya usalama? Au nani alitishika na kauli ya kukinukisha?!!!!!! Nikisema ccm namaanisha kwamba wanapaswa kushindana majukwaani sio kuonea wenzao wanaposhindwa na hoja!!! Nikisema mambo ya msingi namaanisha rasilimali nyingi za nchi hii hazinufaishi raia wa nchi hii!!! Lakini haya tumekaa kimya nakuona ni sawa si ndio?
 
Back
Top Bottom