Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

Unadhani kwanini Tundu Lissu ameamua kuisadia mahakama kwa kukiri kutenda kosa linalomkabili?

Hii kesi nani asiyejua ni kesi ya kisiasa? Na hapo sio kukiri kama kweli sheria itafuatwa akafungwa lissu basi tujiandae wanasiasa wengi kwenda jela!!! Maana zile ni kauli za majukwani…… sawa swali la msingi nani alitishika. Serikali? Vyombo vya usalama? Au nani alitishika na kauli ya kukinukisha?!!!!!! Nikisema ccm namaanisha kwamba wanapaswa kushindana majukwaani sio kuonea wenzao wanaposhindwa na hoja!!! Nikisema mambo ya msingi namaanisha rasilimali nyingi za nchi hii hazinufaishi raia wa nchi hii!!! Lakini haya tumekaa kimya nakuona ni sawa si ndio?
Wewe Bwana!.. maelezo mengiiiii lakini hagusi kiini cha mada. Issue ni alikiri au hakukiri? Mada imejikita kuwa amekiri.
 
Back
Top Bottom