Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Mkuu, kumekucha sasa naona umesaini in kazini kwako, mwisho wa mwezi bado siku chache tu. Ongeza bidii kazini mabosi zako waone.💪
Weka kwenye hii hoja yako, nimefuatilia mwanzo mwisho hakuna mahali kitu kama hicho, weka hapa hata mstari mmoja ambao amekiri nia na tendo.Gentleman,
huenda hufuatilie hutuba ya mtuhumiwa anapowaaga wafuasi wake kupitia kizimba cha mahakama 🐒
kama naeleza uongo na huyo muhalifu hajakiri makosa yake, sidhani kama JF management ingeweza kuvumili uzi huo mahususi mezaniWeka kwenye hii hoja yako, nimefuatilia mwanzo mwisho hakuna mahali kitu kama hicho, weka hapa hata mstari mmoja ambao amekiri nia na tendo.

Usije kushangaa ukakuta account yake ina mabilion ya fedha.Lini na wapi kakiri.
Mashitaka ya jamhuri yanasema Lissu amechochea umma.
Hakuna kifungu chochote cha kanuni ya adhabu kinachozungumzia kuchochea umma labda kitungwe leo.
Lieni na Katunga aliyekuwa anapoteza muda kuulizia matreckta ya Heche na kuacha mambo ya msingi ya kisheria.
Yaani submission yake imeipunguzia kazi Mahakama ya kuamua.Je,
ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria?
Je,
hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali nchini kadiri alivyoyataja mwenywe, itafanya hukumu yake kutolewa mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa?
Je,
kuna mdau yeyote yule wa Jf hajaona kwa macho athari za wazi kabisa za dhamira na nia ovu ya uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi kwa wapiga kura na waTanzania wote?
Je,
uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi ambao mtuhumiwa uhaini ana kiri kuutangaza na kuhamasisha katika maeneo mbalimbali nchini, hakujasababisha maafa ikiwa ni pamoja na wana usalama na walinzi wa amani na dola ya Tanzania, raia wa kawaida, wapiga kura, na watoto? Je, uasi ule aliouhamasisha kwa nguvu sana na kwa kufadhili wa mabwenyenye ya magharibi, haujasababisha, uharibifu wa mali za umma na za wananchi?, haujasababisha ulemavu wa kudumu kwa raia wasio na hatia, hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa na taharuki na athari nyingine kisaikolojia kwa wananchi?
Anakwepaje kuwajibishwa kwa adhabu kali kisheria hata kama amekiri kutenda kosa la uhaini?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Yes,Nawakumbusha msiende na matokeo yenu vichwani
mwenu
Kama unaumwa presha usiende Mahakamani
Sababu Mahakama sio
Mzazi wako✍️

Unafikiri huu ndiyo ujenzi wa hoja kweli? Jamii forum inavumilia mijadala mingi sana sidhani kama hii ni hoja madhubuti ya kuthibitisha hoja yako. Kwa sababu tunarejelea kesi yenye hadidu bayana weka tu hata nukuu ya mstari mmoja ambapo Tundu Lissu amekiri kwa kuhusisha nia na tendo. Ukiiweka tu hii hoja yako ninaunga mkono hapo hapo.kama naeleza uongo na huyo muhalifu hajakiri makosa yake, sidhani kama JF management ingeweza kuvumili uzi huo mahususi mezani![]()
sidhani kama najenga hoja ya kumfanya mtu ateseke kisailojia,Unafikiri huu ndiyo ujenzi wa hoja kweli? Jamii forum inavumilia mijadala mingi sana sidhani kama hii ni hoja madhubuti ya kuthibitisha hoja yako. Kwa sababu tunarejelea kesi yenye hadidu bayana weka tu hata nukuu ya mstari mmoja ambapo Tundu Lissu amekiri kwa kuhusisha nia na tendo. Ukiiweka tu hii hoja yako ninaunga mkono hapo hapo.

relax na hakuna haja ya kupanic au kujipiga kifua kindezi hivyo gentleman,upumbavu upumbavu wewe hata kuuliza Nchimbi yuko wapi umeshindwa Uko busy na Lissu CCM ina watu wenye EQ na IQ ndogo sana

Kuna mahali padogo sana hujapaelewa au hutaki kuelewa ukweli au uongo wa ulichokiandika hautokani na hisia au imani tu, bali ushahidi kutoka kwenye marejeo ya kesi yenyewe tena kutokana na ukiri wa mshtakiwa. Kwani kuna tatizo gani ukinukuu ukatuonesha alipokiri? Je hatuoni litaipa "credit, legality and legitimacy" hoja yako?sidhani kama najenga hoja hapa,
mi nadhani nimeeleza ukweli mtupu kwenye jambo la msingi na la heshima kwa katiba ya Tanzania.
Gentleman,
kuna haja gani ya kubabaika na kitu ambacho hata wewe mwenyewe una kiri Lisu kahusika na kukiri kufanya kosa hilo nililoeleza kwa ufupi hapo juu?
yaani unajaribu kuficha kipi ambacho hakiko wazi?
kua muungwana tu,
kwamba hayajawa kama ulivyotarajia na ndio imeisha hiyo. Ziatabaki porojo tu![]()
Unaongea mambo usiyoyaweza.Mtu anasema alichofanya si kosa kisheria na amekupa Sheria husika wewe unashupaa eti kakiri kosa.Je,