Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.

Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.

Screenshot_20260906-074426.png
 
Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.

Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.

View attachment 3664260
Kangwanda yuko vizuri ila huyu Zakuani labda tumpe muda
 
Mpaka sasa tuombe job na mzize wapone na wapate utimamu ili tucheze ROBO lazima kiungo tuwe na

Duke maxi muda na Azizi pale juu
Attacking tuwe na mzize kama winga kushoto kangwanda kulia na shalulile kati

Ulinzi CB wawe job na Bacca hapo hata fainali uhakika
 
Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.

Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.

View attachment 3664260
Huu ni ukweli usioimbwa, hakuna anayefikia hata robo ya pacome hapo!

Aziz Ki naye madem wameua kipaji
 
Ila watu, yaan match ya jana mshaanza kuongea shit, muwape Time wachezaju, Lol
 
Wananchiii,
Hawa wachezaji wawili wakuitwa kangwada na zakuoani ni level za nbc premier leage. Nimewatizama jana tena dhidi ya timu ya kawaida, weupe tu hawa wachezaji.

Siwaoni wakiibeba yanga mabegani kama wataingia group stage caf champions leage.

View attachment 3664260
Sio wachezaji wabaya, ila aina yao ya uchezani inafaa kwa timu inayocheza kwa kupishana na sio timu zinazocheza low block
 
Huyo kingwada anaenekana ni mchezaji mzuri shida tu ni kama ana kauzembe fulani hivi yaani ana uchezaji fulani kama wa antony martial. Ukimwangalia ni kama hajitumi to the maximum extent.

Sema mechi ya jana wale watswana walipaki basi, walitumia manguvu mengi na pia uwanja ulikua sio rafiki.

Huyo zokouhan hakuna mchezaji humo
 
Back
Top Bottom