Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

Wachezaji wa kuisaidia Yanga kimataifa humu hakuna

Nilishasema ligi yetu haivijengi hivi vilabu vya Simba na Yanga kuwa competitive kimataifa, ligi yetu ina timu dhaifu sana ndiyo maana Yanga inavibamiza magoli ya 2+ lakini wakienda kimataifa unaona kabisa kuna shida mahali.

Anyway hongera kwa kutoa sare ugenini, siyo mbaya sana
 
Lakini doumbia ataibeba ngungu boys aka wakunyia kunyia fc aka hela ipo benki kule kimataifa?
 
Mpaka sasa tuombe job na mzize wapone na wapate utimamu ili tucheze ROBO lazima kiungo tuwe na

Duke maxi muda na Azizi pale juu
Attacking tuwe na mzize kama winga kushoto kangwanda kulia na shalulile kati

Ulinzi CB wawe job na Bacca hapo hata fainali uhakika
Shalulile siyo wa kutegemea
 
Ndio maana Tanzania mpira unatushinda tunachoweza ni siasa tu unataka Timu icheze vip ugenini Mamelodi ni mabingwa na tunaona ugenini wanasota kweli mpaka wanatoboa hapo kwao..
Yaani mechi moja tu wachezaji watasemwa balaa shida mnaenda na matokeo yenu timu ikitoa sare au kufungwa hakuna Timu jaribuni kuangalia na mechi zingine tofauti na za Timu zenu mjifunze boli.
 
Back
Top Bottom