Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
1. Lamine Yamal – mshambuliaji (FC Barcelona)
2. Pau Cubarsí – beki wa kati (FC Barcelona)
3. Gavi (Pablo Martín Páez Gavira) – kiungo (FC Barcelona)
4. Dani Olmo – kiungo mshambuliaji (aliwahi kuwa La Masia kabla ya kwenda Dinamo Zagreb)
5. Eric García – beki (aliwahi kuwa La Masia)
6. Alejandro Grimaldo – beki wa kushoto (aliwahi kupitia La Masia)
7. Marc Cucurella – beki wa kushoto (aliwahi kupitia La Masia)
8. Víctor Muñoz – mshambuliaji (aliwahi kupitia La Masia)
Spain National Team is in safe hands as long as La Masia inaendelea kuibua vipaji vipya
La Masia ilikuwa na wachezaji 8 kwenye Spain ya Kombe la Dunia 2026, jambo lililoendeleza historia yake baada ya kizazi cha 2010 (Xavi, Iniesta, Puyol, Busquets n.k.).