Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao

Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wapingaji demokrasia ukweli ni kwamba wanashindwa pamoja na vyombo vyao. Imebaki utekaji, utishaji na uchawa.

Lakini kwa Watanzania wengi wanataka demokrasia na kuweza kuchagua wawakilishi wao ba sio kuchaguliwa na wachache.

Hawa wakandamizaji wanapigana vita ambayo kwa Watanzania wameshanshidwa wamebaki na vyombo tu
 
Mara ya Kwanza walifikiri kuteka na kuuwa itasaidia kuongoza nchi bila stress, hatahivyo mambo yamekuwa magumu sana kwao kilasiku.
 
Back
Top Bottom