Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
1791474750666.jpg
 
Hivi majuzi walisema Petrol haitakuwa kwenye Muungano (nafikiri wamechungulia ramani)
Na sasa ndege, Pengine mengi yanakuja....
Tusubiri tuone mwisho wake...
 
Kuongeza fursa za kiuchumi
Changamoto za Muungano na Udhibiti: Masuala ya anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yako chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambayo ni taasisi ya Muungano. Kuanzishwa kwa shirika jipya kutahitaji uratibu wa karibu sana wa kisheria na kisiasa ili kuzuia migongano ya kimaslahi au kibiashara na Air Tanzania (ATCL).
 
ni Jambo Jema, ila wasikurupuke kama ATCL waende kwa step
Changamoto za Muungano na Udhibiti:
Masuala ya anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yako chini ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambayo ni taasisi ya Muungano.

Kuanzishwa kwa shirika jipya kutahitaji uratibu wa karibu sana wa kisheria na kisiasa ili kuzuia migongano ya kimaslahi au kibiashara na Air Tanzania (ATCL).
 
sioni shida yoyote hapo. Shirikala ndege ni biashara na sio siasa.
 
Unaufahamu vizuri mkataba wa muungano?

ni wapi mkataba wa muugano umeizuia serikali ya Zanzibar kufanya biashara? Ndege ni biashara hata watu binafasi wanayo mashiraka na wanafanya biashara kuna shida gani na wao wakiamua kufanya?
Unakumbuka kuwa Serikali ya Zanzibar ilikua ikimilika hisa katika mtandao wa Zantel? mgongano gani ulitokea?
 
Air Zanzibar inamilikiwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Air Tanzania ni sehemu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.. Je huoni mkanganyiko hapo?
 
Air Zanzibar inamilikiwa na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Air Tanzania ni sehemu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.. Je huoni mkanganyiko hapo?

Serikali ya Dubai Inamiliki mashirika mawili ya Ndege ambayo Fly Dubai na Emirate Airline.

Serikali ya Abu Dhabi ambayo inamiliki Shirika la Etihad Airways pia ina hisa kwenye Emirate Airline ambayo nio mshindani wake mkuu kibiashara.
 
Back
Top Bottom