Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
HOt_G7rXwAA0GcY.jpg
HOssXSkXAAARgEa.jpg
HOssXTnW0AAiMrH.jpg

Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani.

Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata tamaa na kuhitaji uponyaji, si wa kiroho bali kiuchumi. Wanajaa hapa kupata maneno ya matumaini!
 
Jichanganye ufungue. Unadhani ni rahisi! hata ujinga ukifanyiwa investment unaonekana ni kitu halisi. Nyuma ya pazia kuna sacrifice za kutosha mwamba kazifanya. Huwezi acha kupiga debe kkoo~mbezi kesho ukusanye kadamnasi hvyo ni kugonjeka akili kuwaza hvyo.

Na serkali tuitoe hapa hili ni swala la imani ya mtu.

Simkubali mwamba ila umekosea sana hii TITLE MKUU
 
Suggest kichwa kizuri basi. Au weka hiki hapa chini:

HOvFZQBWEAIimVY.jpg
 
Tuseme una kansa. Hela za kwenda kutibiwa hospitalini Ocean Road Cancer Center huna. Sanasana unakunywa mitishamba kwa kuambiwa ambiwa tu na watu lakini hupati nafuu yo yote. Halafu unaona shuhuda watu wamepona kansa kwa kuombewa na Mwamposa. Utaacha kwenda?

Baadhi ya wanaokwenda pale siyo wajinga bali hawana pa kukimbilia. Ukiongea na baadhi yao ndiyo utaelewa wanachopitia. Huduma mbovu za kijamii, umasikini uliokithiri, ufisadi wa kihayawani....
 
Wewe unadhani watu wanapenda kwenda? Ukiwa na shida ndio utaona sio ujinga wakati wa kwenda kutafuta msaada kwa waganga au kwenda kuombewa. Hata wewe unaweza kupata shida ukafika sehemu ambayo hukutarajia kufika hata siku moja. Ukilitambua hilo usimbeze mtu anayetafuta suluhishi la matatizo yake kwa njia yoyote ile?
 
Back
Top Bottom