Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Mwamposa anauza udongo kwenye hilo kusanyiko Tsh 10,000 kwa kipimo. Haya mambo anayatoa wapi ?
 
View attachment 3642348View attachment 3642349View attachment 3642350

Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani.

Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata tamaa na kuhitaji uponyaji, si wa kiroho bali kiuchumi. Wanajaa hapa kupata maneno ya matumaini!
Nimeshuhudia kwa macho yangu, majinga yapo mengi. Indeed, you can be a professor but still an idiot.
 
View attachment 3642348View attachment 3642349View attachment 3642350

Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani.

Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata tamaa na kuhitaji uponyaji, si wa kiroho bali kiuchumi. Wanajaa hapa kupata maneno ya matumaini!

Mniache na Imani yangu, Mimi nampenda Mwamposa

Mimi siyo mjinga, nanunua Kila kitu cha Mwamposa

CCM OYEEEEEEEE
 
Back
Top Bottom