Ndiyo ukauziwe udongo kwa Tsh 10,000? Munarndekeza ujinga tuMimi sijasema makanisa yanaponya hata kama yanaponya uponyaji hauwezi kuwa kwaajili ya kila mtu. Mimi pwentu yangu nikwamba hakuna mtu anaenda huko akiwa hana shida fanya utafiti. Watu wanajaribu kutafuta mahali watakapopata suluhisho la shida zao. Basi. Kama wewe huna shida huwezi kujua mtu mwenye matatizo mambo anayopitia. Subiri na wewe siku ukipata matatizo ndio uanze kushughulika kupata suluhisho kwa wakati wako
Kwa sababu wajinga ni wengi na wanazaliwa na kufa kila leokwanini uwasemee watu walochagua upande wao?, ni kwamba haujui watu wote hatuwezi kufanana kiakili na kimtazamo,, istoshe haya maneno ya utapeli hayajaanza kusemwa leo mbona bado wanajazana?
Point kubwa sana hii. Yaliwahi nikuta.Wewe unadhani watu wanapenda kwenda? Ukiwa na shida ndio utaona sio ujinga wakati wa kwenda kutafuta msaada kwa waganga au kwenda kuombewa. Hata wewe unaweza kupata shida ukafika sehemu ambayo hukutarajia kufika hata siku moja. Ukilitambua hilo usimbeze mtu anayetafuta suluhishi la matatizo yake kwa njia yoyote ile?
Unashangaa 10,000 watu wanato hata uhai wa watu wengine ili kutatua shida zao 🤣Ndiyo ukauziwe udongo kwa Tsh 10,000? Munarndekeza ujinga tu
Sera ya elimu chini ya utawala wa ccmLowasaa hakuwa mjinga kusisitiza sera ya ELIMU
Kwamba hata kama Mwamposa angekuwa anaweza kweli kutibu kansa ndio ocean road wangemruhusu kufanyia maombi wagonjwa ili wapone kansa?Hakuna mtu amewahi kupona kansa duniani mpaka sasa. Wanapigwa mionzi au chemotherapy na wana ongeza muda wa kuishi tu kati ya miaka 2-15 kutegemea na hali ya mgonjwa ilivyokuwa.
Ingekuwa Mwamposa ananuwezo wa kutibu kansa kwa maombi basi angekwenda tu pale Ocean Road. Ile hospitali kila wakati ina wagonjwa siyo chini ya 500 wanauguza kansa za ngozi, tezi dume, matiti, kizazi, koo nk
Acheni KUDANGANYWA, mbona mama yake Mwamposa alipougua mwaka jana Mwamposa alionekana Airport akimpeleka Ujerumani kutibiwa??
Sawa, afande mwasifiga 😀Uwongo tu
Huwezi wapanga wale watu woteeeeeee hapo kama unaweza anzisha huduma Yako uone kilicho mtoa kanga manyoya shingoni 😁 😂Na wewe ni mmojawapo wa wafuasi wa Msamposa?
Serikali ina amini katika sayansi .Kama Makanisa yanaponya kwanini serikali isifungue Makanisa Kila kata watu wawe wanasaidiwa huko kuanzia afya, ajira, chakula z miundombinu n.k
Unaona kama mwamposa ana enjoy sana that's why...Kwanini unasisitiza nianzishe utapeli?
Ipo siku wake za watu watadinywa ili kupata barakaHalafu wote wanawake daah
Sacrifice za kumwaga damu za watu? No way !! Hilo kanisa la hivyo fungua wewe.Unaona kama mwamposa ana enjoy sana that's why...
Hujui nyuma ya huduma yake Kuna sacrifice ngapii jamaa alifanya
Not easy 😞
Kama ni rahisi anzisha huduma Yako uone kilicho mtoa kanga manyoya shingoni 😁
Sacrifice za kumwaga damu za watu? No way !! Hilo kanisa la hivyo fungua wewe.
Nitabaki Mkatoliki hadi Yesu arudi