Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
Hapana, kafanya kazi nzuri kuuliza maswali chokonozi ili mbunge afungeke zaidi ujumbe ufike kwa wahusika.Huyu anaemhoji ni mpumbavu kabisa kinyesi taka taka akili makebo kabisa.
Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
View attachment 3658592
KabisaHuyu mama mbunge ajengewe sanamu pale bungeni.
Sasa hata huko bungeni akiinuka kutoa hoja si atapotezwaHana haja ya kuwa.mpole kwani ni kuwaps nguvu hawa wauaji na wateksji
Aisee, mtoto wa kike amekuwa na ujasiri.Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
View attachment 3658592
Itakua vizuri pia maana vita vya panzi hivyoUbunge wenyewe anepewa na hao maccm! Akijifanya mjuaji watamuondoa kwa zengwe
Sanamu gani wakati wamepiga kura 💯 % kumpinga Nchimbi?Huyu mama mbunge ajengewe sanamu pale bungeni.
Wangekua na meno ya kusema hivo ndani ya bungeHajaficha kitu niwe mkweli sigirada nimemuelewa
Kivipi mbona ipo, huko Instagram imesambaa sanaClip haionekani,wameshapita nayo nini