Kuna sehemu sisi jina letu ni viburi kwasababu tu, tulishindwa kuvumilia dharau zao..
Kuna sehemu sisi ni selfish people, wenye tamaa zisizo na kifani, kwasababu tu, tulihitaji maboresho ya maslahi ya jasho letu..
Kuna sehemu sisi ni wavivu na wazembe kwasababu tu, riziki yetu haifanani na yao...
Sina haja ya salamu.
Ninakukumbusha wewe Mwanaume ili uheshimike na mwanamke usimsikilize mwanamke, kwa sababu mwanamke jinsi alivyoumbwa akikwambia anataka ufanye hivi maana yake anataka ufanye vile yaan vice versa is true kwa hio anaweza akakwambia umpe limao kumbe mwenzako anataka umpe...
Habari za muda huu ndugu zanguni........
Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuyaona mengi.....katika hayo mengi kuna mabaya yanayoumiza na kutufunza na kuna mazuri yanayofurahisha.......
Suala la NDOA limekuwa mwiba mchungu sana linalotatiza akili za vijana wengi sana.......kiasi kwamba baadhi...
Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah..
Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu.
Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza...
Hello!
Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara...
Duniani hapa ukitaka kupoteza muda wako we jaribu kutafuta usawa katika mapenzi, kiufupi hilo ni swala ambalo haliwezekani hata kidogo
Yaani kila mtu unayemuona ana matamanio yake ana vigezo vyake anavyopenda kwa mtu ana madhaifu yake, na ukiachana na hayo yote ukishaambiwa hiki kitu...
SHETANI
Baada ya msoto wa muda mrefu,
Chuwa alifanikiwa kupata kazi.
Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa kumlazimisha,achangamane na watu walio kinyume na misimamo yake,
maadili yake,tamaduni zake na kila jema alilolijua...
Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.
Mchana mwema
Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika.
sio hapa tanzania bar ya mtaani inauza bia 1500 alafu bar nyengine anauza 3000 leseni sawa.
Wenzetu kodi zao unaona kabisa imetenda haki...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali.
Pia soma:Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania
Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
Ukiwa Kama kijana Una umri kianzia 18 yrs ili usizeeke Mapema na uzeeke ukiwa katika ubora wako tumia hii njia .
Waangalie wazee wenye umri mkubwa kuanzia 70 yrs then utazame wanaishije then na wewe Apply hiyo lifestyle.
Maana yake ni nini
Kuwa na tahadhari Kama Wazee
Punguza nights out...
Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao.
Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
Shalom,
Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu .
Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi.
Sasa basi...
Wakuu kichwa Cha habari kinajieleza vizuri ,wote tumeona yaliyotokea ijumaa ambapo team zetu pendwa ziliondolewa katika cafcl
Ukweli ni kwamba hakuna vibe zuri kama la cafcc na Cafcl Sasa tumelikosa huku tukiwaangalia wengine wakisonga mbele
Kwa Sasa ni wito wangu kwa Yanga na Simba linapokuja...
Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa..
Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile .
Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.