Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Ananiambia kondomu zimemkataa. Maana akipata mmama akiingia kwenye shoo anapiga safi ila akivaa kondomu inasinyaa.
Hili ni tatizo gani ? Na linatibika kwa namna gani?
Hili ni tatizo gani ? Na linatibika kwa namna gani?