uhuruborn
Senior Member
- Sep 6, 2025
- 130
- 453
Tumekuwa na Taifa ambalo lina support matendo ya kishetani kama haya chini ya huyu mwanamke. Kama (mashoga wanafanya annual conference yao)
Serikali kupitia Polisi, TISS mambo ya kishetani kama haya hawayahoni ila CHADEMA wakifanya mtukano unazuiwa kwa sababu ya intelijensia yao imewaambia kuna vurugu zitatokea