Oya Accumen unakuwaga na roho ngumu sana likija swala la kifo. Nimefuatlia sana comments zako hasa kuhusu ile ajali ya basi iliyotokeaga upareni ikalipuka na kuunguza watu hadi majivu. Wala ukujali wala remorse. Pia unashangaaga wanaume wanaolia misibani.Unaogopa kufa ?
Akili itatumika hapa wewe ambae hujielewi nakwambia hivi unapooa mwanamke jaribu sana kufatilia tabia zake kbl hamjafunga hio ndoa mfano familia yake wanaishi sifa na kabila nimesema hivi kwasababu kuna makabila automatic sio ya kuoa kabisa asilimia kubwa ya wanawake wa huko arusha wanaakili kama hizo kwaio usipotumia akili ukakurupuka kisa kichwa cha chini kinataka hayo maswala u will die young my broMimi nadhani wewe ndiye mjinga sasa hapo utatumia akili gani ili kugundua umewekewa stiliwaya kwenye mchuzi ?
Bahati nzuri madaktari watagundua hilo apo chache ndio utajua hujui tumekutana ukubwani afu uje uniue oyaah nitakavyokufanya hutaaminiInajulikana.
Wanawake Wana uwezo mkubwa wa kujua wanaume bila hata kutumia nguvu hasa Kwa sumu.
Mwanamke atakavyobadilika na kuwa,ni matokeo ya vile wewe unavyomtendea.
Huwezi kuifanya nyumba jehanamu ukatarajia kuishi na malaika,utauona ubaya wake.Na ukifanya nyumba yako paradiso utauona uzuri wake
Mkuu mbona kama unanitisha mie😊Bahati nzuri madaktari watagundua hilo apo chache ndio utajua hujui tumekutana ukubwani afu uje uniue oyaah nitakavyokufanya hutaamini
Hahhhh nzuri sana hii Mjomba.Kuanzia leo tunaanza kula wote.
Ni hatari sana kuishi na mwanandoa muua ndoa.Mwanamke mjinga huua ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe maandiko yamesema wazi kuwa tuishi nao kwa akili ni hatari sana kuishi na mwanamke bila kutumia akili
Soma hio comment ya huyo dada hapo down 👇
View attachment 3689663
point 3 muhimuKATAA NDOA...