Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

Vale Nafaka please msaidie braza yangu loose Nut amepigwa ban jamvini baada ya kuchongewa kwa mods na mbusii adriz.

View attachment 3689667

Grahams min -me Yoda MamaSamia2025
Dogo ana masononeko mengi sana sijajua kwanini picha zake nyingi uso wake una huzuni ni km yule manzi tulikua tunaoneshwagwa anapiga mapichapicha anatuonyesha makalio kwenye magari na maeneo ya kifahari maduka maduka makali ya mjini akiulizwa anatoa majibu yasiyokamilika sasa hivi yule aliekua anamsponsor kamtosa wana wanagonga milango yote wanagonga mbele na wanagonga nyuma, huzuni ya huyu manzi hua inanipa maswali mengi sana kwanini ana huzuni?
 
Kuna kisa kimoja nilisoma nadhani kilitokea maeneo ya Tegeta na nadhani kuna uzi wake humu uliletwa na Deepond

Mwanamke amlidhoofisha mumewe kidogo kidogo kwa kumuwekea nadhan hydraulic oil kwenye juisi yake pendwa,kila lunch time mke anampelekea mumewe juisi pale wazo hill kazini,kumbe ndo ilikuwa inamuondoa mdogo mdogo

Akapelekwa mpaka Kenya kwa matibabu,hospital wakagundua kuwa kweli mume kaonekana na kemikali fulani kwenye mwili,kibaya zaidi,akiwa pale anapata tiba,bado mke alikuwa akiwa peke yake na mgonjwa bado akawa anamlisha au anamuwekea ile oil kidogo,mwisho wa siku mume alikufa ila ukweli ukaja kugundulika

Hiyo mbinu alipewa na mchepuko wake ambaye ni daktari
Wakiamua kutumaliza ni chap tu
Kwahiyo hawa wanawake
 
Oya Accumen unakuwaga na roho ngumu sana likija swala la kifo. Nimefuatlia sana comments zako hasa kuhusu ile ajali ya basi iliyotokeaga upareni ikalipuka na kuunguza watu hadi majivu. Wala ukujali wala remorse. Pia unashangaaga wanaume wanaolia misibani.
Tatizo mnataka kuaminisha watu kwamba kifo ni dhambi , kila mtu atakufa ni vile una wasiwasi na vitu viko nje ya uwezo wako ..Ishi , Mungu hamna mpango mbaya na mwanadamu ,
 
Kuna kisa kimoja nilisoma nadhani kilitokea maeneo ya Tegeta na nadhani kuna uzi wake humu uliletwa na Deepond

Mwanamke amlidhoofisha mumewe kidogo kidogo kwa kumuwekea nadhan hydraulic oil kwenye juisi yake pendwa,kila lunch time mke anampelekea mumewe juisi pale wazo hill kazini,kumbe ndo ilikuwa inamuondoa mdogo mdogo

Akapelekwa mpaka Kenya kwa matibabu,hospital wakagundua kuwa kweli mume kaonekana na kemikali fulani kwenye mwili,kibaya zaidi,akiwa pale anapata tiba,bado mke alikuwa akiwa peke yake na mgonjwa bado akawa anamlisha au anamuwekea ile oil kidogo,mwisho wa siku mume alikufa ila ukweli ukaja kugundulika

Hiyo mbinu alipewa na mchepuko wake ambaye ni daktari
Wakiamua kutumaliza ni chap tu
Kwahiyo hawa wanawake
Ilikua ni dawa ya macho
 
Kaka zangu na wadogo zangu!! mnapoingia kwenye ndoa na wenza wenu jitahidini sana kuishi vizuri.
kuishi bila kejeli, dharau, masimango na unyanyasaji wa kimwili na kiakili.

La sivyo ni lazima kiwalambe ndoa sio lelemama huwezi kuishi na mtu usioe la sivyo mtakufa sana!.

Na bado kuna sumu ya mamba inatengenezwa Burundi nzuri sana!!!! yenyewe inaenda kumaliza figo , maini na ukiwa na bahati inakupiga kwenye moyo.
inauzwa mia tano tu Burundi!!! ukinunua kwa madalali ni elfu kumi za kitanzania
 
Kikubwa hapa ni maelewano, yakishindikana kabisa ya ukwelikweli, mjitahidi hata kuigiza tu ili siku ziende, napo hali imeshindikana kabisa bora kutawanyika kwa amani. Mambo ya mauaji hayaleti afya kwa pande zote mbili.

Binadamu kadri unavyomkandamiza, ndivyo unavyompa uwezo na nguvu za kuwa mnyama na katili, kiwango hichohicho akiamua kukirudisha kwako, lazima watu waweke matanga.

Jaribu kuwaza hii akili anakua nayo Dada wa kazi, si anawamaliza familia nzima? Ndio maana kuna haja ya kuwaonyesha utu pia hawa dada zetu japo sio mara zote wema utalipa, ila unaweza kunusuru madhara madhara makubwa.
 
Inajulikana.
Wanawake Wana uwezo mkubwa wa kuua wanaume bila hata kutumia nguvu hasa Kwa sumu.
Mwanamke atakavyobadilika na kuwa,ni matokeo ya vile wewe unavyomtendea.

Huwezi kuifanya nyumba jehanamu ukatarajia kuishi na malaika,utauona ubaya wake.Na ukifanya nyumba yako paradiso utauona uzuri wake
Unaifanya paradiso anakuona bwege mtozeni anaenda kwa yule bad boy ambae yeye ndo anambonga hela unazompa wewe ndani.
 
Kaka zangu na wadogo zangu!! mnapoingia kwenye ndoa na wenza wenu jitahidini sana kuishi vizuri.
kuishi bila kejeli, dharau, masimango na unyanyasaji wa kimwili na kiakili.

La sivyo ni lazima kiwalambe ndoa sio lelemama huwezi kuishi na mtu usioe la sivyo mtakufa sana!.

Na bado kuna sumu ya mamba inatengenezwa Burundi nzuri sana!!!! yenyewe inaenda kumaliza figo , maini na ukiwa na bahati inakupiga kwenye moyo.
inauzwa mia tano tu Burundi!!! ukinunua kwa madalali ni elfu kumi za kitanzania
Una muda gani kwenye ndoa?
 
Unaifanya paradiso anakuona bwege mtozeni anaenda kwa yule bad boy ambae yeye ndo anambonga hela unazompa wewe ndani.
Hakuna nyumba yenye furaha mwanaume akageuka bwege.
Kwahiyo unaona option nzuri ya kumcontrol mwanamke na kuonekana mwamba kwake ni kummistreat?
 
Huo mwili utadhani anatokea ukoo wa viboko (hippopotamus)
Hey watch your stinking mouth.

Bora hasira zako za kuwa na demu ugly uziangushie kwangu kuliko uzipele kwa Vale Nafaka.

Narudia tena chungq hilo domo lako linalonuka. Na endapo chochote kibaya kitamtokea Vale wangu hata mkwaruzo tu nitakushughulikia na mikono yangu miwili.
 
Back
Top Bottom