Tatizo lako na tatizo la timu ya Yanga vinafanana.Wakulaumiwa.ni sa100 kwa kuruhusu kila takataka kuingia nchini.Hizo still waya zimepigwa marufuku sehemu nyingi duniani isipokuwa Tanzania pekee.sa100 ni muuaji

Amesema ukweli, wanaume ndo tujuwe njia wanazotumia kutumaliza. Wazee wa zamani hususan Wasukuma wanalijua hili. Ndo maana wanawake wa kaskazini hawapendi kuolewa na waanaume wa kanda ya ziwa ukiacha wahaya. Hapa Feminist hutowaonaMwanamke mjinga huua ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe maandiko yamesema wazi kuwa tuishi nao kwa akili ni hatari sana kuishi na mwanamke bila kutumia akili
Soma hio comment ya huyo dada hapo down 👇
View attachment 3689663
Kubwa sanaWanaopinga ndoa wasikilizwe, wana hoja.
Mchawi huyo ameshazoea kuua, ht hivyo wapare siyo watu wana roho mbayaOya Accumen unakuwaga na roho ngumu sana likija swala la kifo. Nimefuatlia sana comments zako hasa kuhusu ile ajali ya basi iliyotokeaga upareni ikalipuka na kuunguza watu hadi majivu. Wala ukujali wala remorse. Pia unashangaaga wanaume wanaolia misibani.