AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hii kitu nimeona sana ni nimeipitia sana experience yangu ni kubwa mno.
Of course, najua wapo watakaopinga lakini ipo wazi kwa mwanaume kua na mwanamke mzuri sana ni changamoto.
Kwanza, hua inahitaji moyo ule moyo haswa ili ku-maintain focus bila kupitia mabalaa ya hapa na pale sijui wivu wivu na ugomvi wa hapa na pale na vinginevyo maana list ni ndefu plus vikumbo ni vingi sababu ya ushindani mkubwa kutokana na wanaume wengine wanaomtaka kimapenzi sababu ya uzuri wake.
Binafsi nimepitia mahusiano kadhaa na wanawake kadhaa niliowapitia weengi ni visu vikali na km hujui maana ya visu vikali basi elewa huu ulikua msemo wa kipindi hicho kabla nyinyi hamjaanza kuwaita pisi kali tulikua tunawaita visu vikali.
Na usishangae kusikia mpaka leo hii mimi sielewi hili neno pisi lilitokana na nini yaan chanzo cha neno pisi ni nini? Nakumbuka liliibuka tu kutoka kusikojulikana tu ndio likaanza kuzagaazagaa tu ovyo.
Msemo wa kisu kikali maana yake ili uweze kumtongoza na uweze kumpata kimapenzi na kimahusiano na uweze kumlala kunako 6×6 basi inabidi kisu chako kiwe kimenolewa haswa kisiwe butu.
Najua unaelewa ninamaana gani ninaposema kisu chako kiwe kikali kisiwe kisu butu.
Binafsi, nakumbuka kuna manzi yangu mmoja niliewahi kuanae kitambo hicho tukatemana ilifika wakati kum-maintain na kum-handle ilikua ni issue maana alikua anahitaji gharama nyingi sana za maintenance & repairs na zingine zilikua ni unnecessary ila alikua anataka umtimizie na usipomtimizia basi huo ugomvi wake ni wa kukumbushiana kila wakati jambo lilelile litakumbushiwa na kukumbushiwa na kukumbushwa.
Ilifika wakati nikaona this is too much. Ubaya mwingine wa mwanamke akishajijua wewe mwanaume umemuona yeye ni mzuri kwake yaan ni kisu anageuka na anakua mwanamke wa ajabu ajabu anaanzisha tu tuvisavisa tusivyo na kichwa wala miguu km mwanamke mwenye mimba ila yeye hana mimba.
Atautumia huo uzuri wake unaouona wewe kujinufaisha yeye binafsi sio kwa manufaa ya pamoja.
To cut a long story short, hii manzi niliyonayo kwa kipindi hiki ni kisu kikali kwa ninavyoona mimi na inajiendesha inavyotaka yenyewe ni zile manzi za route mingi leo Mwanza kesho Singida kesho kutwa Tabora mtondogoo Arusha yaan haitulii sehemu moja ila inapenda sana kutumia hela kwa matumizi yasiyo na faida.
Yaan km ni gari basi ni zile gari zinazokunywa mafuta mpaka mwenye gari anaamua kusema ili kubana matumizi nitakua naliendesha kila Jumapili mpaka Jumapili tu kisha analipark sehemu kwa hio kila Jumapili ndio analiendesha baada ya hapo linalala kwenye parking vinaendeshwa vigari vingine ambavyo havili sana mafuta km IST na ndugu zake wengine ambao mafuta hayaliwi.
Mfano wa gari hizo zinazokula mafuta sana na gharama zake za matunzo ni kubwa ni km vile;
Bentley Continental GT and convertible
Bugatti Chiron Pur Sport
Lamborghini Aventador coupe and roadster
Ford Mustang Shelby GT500
Rolls-Royce Dawn
Rolls-Royce Wraith
Rolls-Royce Ghost and Ghost EWB
Rolls-Royce Phantom and Phantom EWB
Rolls-Royce Cullinan
Nimalizie kwa kusema, Mwanaume kua na mwanamke mzuri sana kwa kweli ni changamoto.