Je, kupika ugali ni kigezo cha mwanamke kuwa wife material?

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Wakuu, kuna watu wanaamini kuwa mwanamke anayejua kupika hasa ugali, ndiye mwenye sifa za kuwa mke bora. Lakini mimi najiuliza jamani hivi ni kweli uwezo wa kujua kupika ugali ndio kigezo cha kumpima mwanamke kama anafaa kuwa mke?

Okay, tuseme mwanamke ana sifa nyengine nzuri, anaelewana ana mwenzi wake, ana heshima, anawajibika na ana malengo ya maisha vizuri tu, lakini hajui tu kupika ugali. Hilo ndo linatosha kumfanaya asiwe wife material?

Mimi naombeni maoni yenu tu wakuu. Je, kujua kupika ugali ni lazima kwa mwanamke anayetaka kuolewa hasa hapa kwetu Tanzania, au kuna mambo muhimu zaidi ya kuangalia katika ndoa?
 
Equation x

VAR

Ugali wa aina gani?
 
downloadfile-205.jpg
 
Ukitaka kupata wanawake wanaojua kupika Ugali na mapishi mengine nenda Tanga
Nilienda kule, du.. ugali umesongwa kwa takriban masaa 3 yaani wote umeungulia ungulia ulikuwa mtamu sijui waliweka sukari wale?

Mwisho; Kupika sio kipaumbele tena siku hizi; Watu wana angalia kama mwanamke na yeye anakuja na nini kwako.... asije tu mikono mitupu hata kupika awe hajui hapo ndipo tatizo linapo anzia ILA kama anavyo vingine vya ku offer kupika hata house girl atapika au atajifunza...
 
Back
Top Bottom