Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Wakuu, kuna watu wanaamini kuwa mwanamke anayejua kupika hasa ugali, ndiye mwenye sifa za kuwa mke bora. Lakini mimi najiuliza jamani hivi ni kweli uwezo wa kujua kupika ugali ndio kigezo cha kumpima mwanamke kama anafaa kuwa mke?
Okay, tuseme mwanamke ana sifa nyengine nzuri, anaelewana ana mwenzi wake, ana heshima, anawajibika na ana malengo ya maisha vizuri tu, lakini hajui tu kupika ugali. Hilo ndo linatosha kumfanaya asiwe wife material?
Mimi naombeni maoni yenu tu wakuu. Je, kujua kupika ugali ni lazima kwa mwanamke anayetaka kuolewa hasa hapa kwetu Tanzania, au kuna mambo muhimu zaidi ya kuangalia katika ndoa?