Matatizo katika mfumo wa kuomba passport.

Matatizo katika mfumo wa kuomba passport.

Joined
Jun 15, 2019
Posts
83
Reaction score
106
Sijui ni Mimi tu au na wengine wanapata hii changamoto? Kwa upande wangu mfumo mzima wa kujaza online unasumbua.

Mtu akijaza taarifa step one, akifika step ya 2 akajaza, inamrudisha step one. Ni kwanini, ni matatizo ya mfumo au ni Nini?
 
Back
Top Bottom