Nyie machawa , wazeee wa Mikopo na kutembeza Bakuli la msaada, huku mkiimba mapambio, Mama anaupigaaaa!!.
Mliamua kuuacha Msingi aliokua kaunzisha BABA MAGUFULI katika kuhakikisha Taifa linaanza mchakato wa kujitegemea , mkawachukia wote wanaopinga habari za mikopo na misaada ya mashariti ...
Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa maoni kuwa Tovuti mpya ya mfumo wa TANCIS unasumbua tangu ulipozinduliwa Januari 20, 2025, maoni hayo yamepokelewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
TRA ilizinduwa mfumo huo na kueleza una maboresho na utakaosaidia kurahisisha uondoshaji wa Hivi...
Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS (Public Employee Performance Management Information System) bila kujua changamoto hizo zinatokana na...
Anonymous
Thread
changamoto
ess
mamlaka
mfumomfumo wa ess
watumishi
Kutoana na kutoka ukoloni mpaka kuwa watawala kuna utofauti kati ya idara za usalama na ulinzi kabla na baada ya uhuru, hasa katika muktadha wa Afrika na mataifa mengine yaliyojitawala kutoka kwa wakoloni.
Kabla ya uhuru, idara za usalama na ulinzi mara nyingi zilikuwa zikitumika kama vyombo...
UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
Wanaume mpo?
Kuna huyu mgombea wa nafasi ya Urais huko CHADEMA, Romanus Mapunda amesema kuwa kama akishinda kuwa Rais atabadilisha mfumo wa kupeana talaka.
Mapunda amesema kuwa atabadilisha mfumo wa talaka kwamba usimuumize mwanaume.
Amesema kuwa mfumo wa uliopo wa kugawana 50/50 na mwanamke...
Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena.
Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na...
Niaje wakuu…
Ni hivi, ni rahisi kujifunza syntax za programming language yoyote ila shida kubwa ambayo inawasumbua watu wengi ni namna ya kubadili hizo concept na kuziweka kwenye mfumo wanaouhitaji.
Na ndio maana nimekuja hapa niweze kukupa hii mbinu ambayo itakusaidia kwenye safari ya usomaji...
Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini?
Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta ajira nyingi kwa vijana hususan madereva wa pikipiki (bodaboda)...
Habari wakuu! Najaribu kujaza taarifa kwa lengo la kupata control number kwenye mfumo wa Police loss report bila mafanikio. Kama kuna mtu aliyewahi pata changamoto kama yangu anaweza nishauri alifanyaje akafanikiwa. Asanteni
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Timotheo Mzava ameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kukamilisha Mfumo wa e-Ardhi na kuanza kutumika katika halmashauri 20 nchini.
Mhe. Timotheo Mzava ametoa pongezi hizo Januari 21, 2025 jijini...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine 13 ya kutolea huduma Serikalini.
Waziri Silaa ameitaja baadhi ya mifumo iliyounganishwa na Mfumo wa...
Tumetoka kwenye ukweli na haki tumeingia kwenye mfumo wa udanganyifu ambao ni mfumo usiokuwa na maana yoyote hali inayopelekea nchi kuonekana kama ni ya kidemokrasia kwa nje lakini ndani yake sio kama inavyoonekana kuanzia kwenye vyama hadi kitaifa kwa ujumla.
Watanzania wengi kama mimi wapo...
Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe
CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya kuwafurahisha basi unaweza kuwa rais hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa.
Mwanachama huyo alidai kuna baadhi ya Watu ambao sio waaminifu wakiwemo baadhi ya Watumishi wa taasisi hiyo wamekuwa na...
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine ama lah. Hii hupelekea dereva kupata adha awapo barabarani ya kusimamishwa na trafic barabarani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.