Annaandika Bagonga: Mfumo wa tiketi unahujumiwa na wenye mabasi

Katukatu

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
650
Reaction score
1,171
SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?!

Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma.

Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT AVAILLABLE kwa madaraja yote.

Tukaamua kutumia “kujuana” na mtu ndani ya TRC. Muda mfupi akatutumia control number tukalipia na kupata tiketi.

AJABU SASA:

- Tulikuwa Business class na mabehewa 2 yalikuwa yamejaa abiria robo tu!
-Tukatembelea Royal Class; yapo robo behewa.
-Tukaenda Economy yapo nusu.

Tukajiuliza: Hawa Wajaluo wamefika hata kwenye SGR au ni mtandao unazingua watu kwa NO SEAT AVAILLABLE wakati treni iko tupu?

Au kuna watu wamekata tiketi halafu wakachelewa?!

Kama ni hujuma ya Wajaluo, wanamhujumu nani na kumnufaisha nani? Kama wanadhani wanamhujumu Mama wamekosea. Hapandi treni labda kwa maonyesho na kuifagilia SGR! Ila wanayemnufaisha yupo. Nimtaje?

Hakuna Mjaluo anayemiliki YUTONG😜

Mambo mengine ndani ya SGR, safi sana. Hili la NO SEAT AVAILLABLE limulikwe.
1791547823431.jpg

View: https://www.facebook.com/reel/1862664778429351/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

UPDATES

NIMEWASIKIA TRC KUHUSU SGR

1. Napenda kuushukuru uongozi wa shirika la Reli kwa kutoa ufafanuzi juu ya “swali” langu la 7/10/2026 ikiwa SGR inahujumiwa au shida ya mtandao? Mmefafanua kwa uungwana nami nawapongeza.

2. Baada ya kukosa ndege, niliingia mtandaoni kutafuta tiketi. Seat zote za tarehe 7/10 na 8/10 kwa madaraja yote zilikuwa zimejaa. Ndipo nililazimika kutafuta msaada wa “kujuana” nikapata tiketi.

3. Kama seats zilikuwa zimeuzwa na abiria hawakutokea, basi shirika linatengeneza faida kwa kutosafirisha watu! Nina picha zaidi ya nilizoonyesha, kwamba seats nyingi hazikuwa na watu mpaka Dodoma.

4. Nilihojiana na wafanyakazi wawili (msiwatafute kwenye CCTV CAMERA) na walikuwa na ujasiri kuniambia kwamba, “seats zote za madaraja ya chini zinafungwa mtandaoni ili abiria waende na mabasi”. Tuhuma hii isipuuzwe.

5. Ni kweli nilisafiri na treni ya mwendokasi isiyo na daraja la Economy, lakini business class ndiyo economy kwa Royal class. Nilizunguka mabehewa yote na kukuta wafanya usafi wanatunza vifaa vyao vyooni na kusababisha kero kwa watumiaji.

Napenda kwa moyo wote kuishauri TRC kuchukulia kwa uzito maoni na ukosoaji wowote bila kinyongo ili kuliepusha shirika na kuporomoka mapema. Mimi sikuhukumu, niliuliza swali.
1791548366254.jpg
1791548370254.jpg
 
Huu uhujumu uchumi tumesha ulalamikia hapa JF mara nyingi.
 
SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?!

Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma.

Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT AVAILLABLE kwa madaraja yote.

Tukaamua kutumia “kujuana” na mtu ndani ya TRC. Muda mfupi akatutumia control number tukalipia na kupata tiketi.

AJABU SASA:

- Tulikuwa Business class na mabehewa 2 yalikuwa yamejaa abiria robo tu!
-Tukatembelea Royal Class; yapo robo behewa.
-Tukaenda Economy yapo nusu.

Tukajiuliza: Hawa Wajaluo wamefika hata kwenye SGR au ni mtandao unazingua watu kwa NO SEAT AVAILLABLE wakati treni iko tupu?

Au kuna watu wamekata tiketi halafu wakachelewa?!

Kama ni hujuma ya Wajaluo, wanamhujumu nani na kumnufaisha nani? Kama wanadhani wanamhujumu Mama wamekosea. Hapandi treni labda kwa maonyesho na kuifagilia SGR! Ila wanayemnufaisha yupo. Nimtaje?

Hakuna Mjaluo anayemiliki YUTONG😜

Mambo mengine ndani ya SGR, safi sana. Hili la NO SEAT AVAILLABLE limulikwe.View attachment 3687415

View attachment 3687421View attachment 3687422

Zisi is Tz Bagonga,kama sii Bagonza!
 
hata ndege yetu ipo hivyo hivyo. air Tanzania. ukienda imejaa siku ya safari hata nusu hawafiki. ndege ipo wazi hakuna abiria
 
Bongo nyoso! Mara kibao nimeshindwa kupanda sgr nilijua inakuwa imejaa,kumbe usanii
 
Vipi kuhusu kukosa ticket mtandaoni ila kwa kutumia magazijuto ikapatikana?
 
Kama demand ni high kwanini waondoe treni ya Moro Dar?
 
Back
Top Bottom