mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ajali za mara kwa mara barabara ya Kimara–Kibaha, Serikali iweke Speed Cameras na kudhibiti mienendo ya malori na mabasi kabla maisha zaidi hayajapote

    Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha. Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Ajira: sifa za kuwa Kondakta Mabasi ya Mikoani

    Ukondakta wa mikoani sasa unasomewa, chuo cha DIT na NIT ndio wanasomea, sasa tunaomba na mikoani kuwe na chuo. 1. cheti CBE na NIT 2. Umri miaka 20-28 3. Mtanzania. 5. Ajue kiswahili fasaha. 6. Kingereza cha kuombea maji. 7. Uwe na mwonekano [Sexy] 8. Usiwe na mimba
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Haya hapa maboresho ya njia mpya ya Mabasi ya Mjini (Daladala) kwa Dar yaliyofanywa na LATRA

    MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria inatangaza maboresho katika baadhi ya njia pamoja na uanzishaji wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KERO UDART, kama kuhudumia wasafiri wa mabasi ya mwendokasi kumewashinda basi wapeni MOFAT waendeshe routes zote

    Habari! Kama umekuwa ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi yanayoendeshwa n kampuni hizi mbiili za MOFAT na UDART utakuwa umegundua utofauti mkubwa sana wa huduma. Kawaida mabasi ya MOFAT (yenye rangi ya kijani) huwa hayapaki kituoni ilihali abiria wamejaa wakisubiri usafiri ila kwenye hii...
  5. T

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini abiria anayeshukia Morogoro analipa nauli ya Dodoma, au anayeshukia Moshi analipa nauli ya Arusha? LATRA hamuoni hili?

    Kuna kero na malalamiko kuhusu utaratibu wa utozaji nauli unaotumiwa na baadhi ya kampuni za mabasi yanayosafirisha abiria kwenda mikoani. Kwa mtazamo wa abiria, hali hii inaweza kuonekana kama unyonyaji, hasa pale mtu anapolazimika kulipa nauli ya safari ndefu kuliko safari anayokusudia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania KERO KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe vibali kwa mabasi ya masafa marefu ya abiria zaidi ya 40

    Kwa barabara zetu hizi nyembamba na mbovu sana ni hatari sana haya mabasi yanayobeba abiria 55 mpaka 60, yanakuwa hayako stable barabarani na ajali zikitoea watu wengi sana wanakufa. Serikali sasa isiruhusu tena mabasi ya abiria zaidi ya 40 safari za masafa marefu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Mahubiri na Matangazo ndani ya Mabasi ya Mikoani

    Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tujenge separate roads za malori na mabasi, gari ndogo etc. Ajali za Morogoro wala hakuna funzo tunalolipata. Pendekeza suluhisho!

    Hivi hatuwezi kweli kujenga barabara za malori tu angalau several kilometers from town center yachepuke kuepukà msongamano na kuleta àjali. Casual observation inaonesha kuwa ajali mbàya zinatokea several, 10, 15, 20 kms kutoka mjini centre....... Morogoro pamekuwa machinjioni ya maisha ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Annaandika Bagonga: Mfumo wa tiketi unahujumiwa na wenye mabasi

    SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?! Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma. Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya kusafirisha abiria usiku kusitishwa? Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

  12. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania 41. Ramani brother Kweka kuchomoka huu msala, mnamkumbuka mmiliki wa mabasi ya j4 yupo uraiani mbona

    Nadhani kesi ya kuua sio nyepesi bro KWEKA kubali umekosea tena sana, ila hatujui yaliyomo kifuani mwako, kama tunge pata muda walau kidogo tu kukusikiliza huenda ungeaachiwa uondoke zako. Mmiliki wa MABASI ya J4 alimshoot mtu hadharani, tena inasemekana alie pigwa risasi alikuaga anamdai pesa...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kampuni zenye mabasi ya Scania kutoka kiwanda cha kuunda mabodi Gemilang

    Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki Chato: Mamba aliyekamata mtu anatishia maisha watu, mbunge Maghembe yupo busy na biashara yake ya mabasi.

    Kuna shida kubwa sana ya maji Chato. Maji hayatoki kwenye mabomba. Upatikanaji wa maji ni wa shida sana. Mbnge wa Chato Kasikazini yupo busy na biashara yake ya mabasi. Wananchi wanaenda kuchota maji ziwani akina mama na akina baba wanaenda kuchota maji ziwani. Kuna mamba alikamata mtu ambae...
  16. B

    JamiiForums Tanzania MGOMO WA MABASI: MHESHIMIWA RAIS, WACHUNGUZENI WAMILIKI WA MABASI WANAOHUJUMU NCHI NA KUWATUMIA MADEREVA

    Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DAWASA YATEGUA KITENDAWILI GHARAMA UONDOSHAJI MAJITAKA KIGAMBONI

    Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole zenye wakazi zaidi ya 410,400 Mitambo hiyo yenye thamani ya Sh2.3 bilioni imejengwa kwa ajili ya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Je kuhamia Magufuli bus stand ilikua vita ya mabasi?

    Kwa juu juu, story inaeleweka kabisa. Shekilango imekuwa ndogo, magari mengi, traffic inakuwa balaa na katikati ya Dar tunajibana . Kwa hiyo RC akaamua: "Wote Magufuli Stand!" Lakin je kuna lolote nyuma ya pazia? Kuna angle nyingine nimeiwaza Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kampuni ndogo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi na malori msikubali yaishe hadi suala la kurenew leseni ya Class C litatuliwe

    Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado. Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania KERO Wenye mabasi ilazimisheni serikali iwauzie hisa kwenye vituo vikuu vya mabasi ya mikoani

    Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru. Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya...
Back
Top Bottom