Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru.
Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya kufikia wafanyakazi wenu ikiwemo kuweka "running room" ni vyumba vya kupumzika madereva na makondakta baada ya safari ndefu.
Hivi sasa vituo hivyo vinakusanya pesa nyingi lakini hazina mrejesho wa huduma kwa walipaji na abiria, wajanja wananufaika kama ilivyo kwenye klabu za mpira nchini.