Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado.
Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya wanaoomba Class C sio wale ambao walishapata Class C miaka 30 iliyopita!!!