Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Nadhani kesi ya kuua sio nyepesi bro KWEKA kubali umekosea tena sana, ila hatujui yaliyomo kifuani mwako, kama tunge pata muda walau kidogo tu kukusikiliza huenda ungeaachiwa uondoke zako.
Mmiliki wa MABASI ya J4 alimshoot mtu hadharani, tena inasemekana alie pigwa risasi alikuaga anamdai pesa lakini bado akauliwa yeye mdaiji, leo hii j4 yupo uraiani, hivo huenda bro nae akachomola japo atakaamoo walau miaka kumi hivi.