Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
JAMANI SISI masikini tunategemewa msitufanyie hivoo, wakuu , hapo nadhani ni mwendo wa kurogana tuYes
Kama una cha moto,muweke rada akizingua
JAMANI SISI masikini tunategemewa msitufanyie hivoo, wakuu , hapo nadhani ni mwendo wa kurogana tuYes
Kama una cha moto,muweke rada akizingua
Imeisha bamnyogodeYes
Kama una cha moto,muweke rada akizingua
Sema ditopile kifo chake nae baada ya ule msala hakikuwa cha kawaidaaHata bro Ditopile naye alirudi uraiani kula bata....
Nilisikitika sana huyu binti kuuawa aisee..Kesi ya msuya ilinivunja kiuno na miguu kbs RIP Anita
Miye inaniuma mpk kesho lkn ntafanyaje wkt nimeshika makali.Nilisikitika sana huyu binti kuuawa aisee..
Hata mke wa bilionea msuya yupo uraiani..... tuendelee kuuana au sio