Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa majibu kwa hoja ya Mdau ambaye aliandika ~ Waziri Aweso, hamishia ofisi yako Mwanza, tena kaa Nyegezi! Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa tete kwa takribani mwezi mmoja
MWAUWASA:
Tunapenda kueleza kuwa hali ya huduma ya maji katika eneo la Kanda ya Nyegezi imerejea kwenye hali ya kawaida, isipokuwa kwa kipindi cha siku kadhaa kati ya tarehe 13 hadi 20 Oktoba 2026, kulikuwa na changamoto ya uzalishaji maji.
Hiyo ilitokana na hitilafu ya bomba kuu la kusafirisha maji kutoka chanzo cha Butimba kwenye Tenki la Nyegezi ambalo ndilo huhudumia maeneo hayo ya ukanda wa Nyegezi kama taarifa zetu rasmi za tarehe hizo zilivyoeleza.
Mamlaka iunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokea.