mwauwasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Mahina lilikuwa na changamoto ya maji lakini hatua zimeshaanza kuchukuliwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa mrejesho kuhusu hoja ya Mdau aliyeandika ~ Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka. MWAUWASA: Tunapenda kufafanua kuhusu changamoto iliyowasilishwa ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa eneo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto Oktoba 13 hadi 20, 2026

    Baada ya andiko la Mdau aliyeelezea "Hali ya maji katika Jiji la Mwanza inazidi kuwa mbaya! Mfano ni Nyegezi," kupitia andiko hili ~ Mwanza: Kuna kero sugu ya maji. Wananchi tumechoshwa na visingizio, malaka husika imetoa neno. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA yasema Mteja anaweza kuomba huduma ya kuunganishiwa maji kwa njia ya Kidigitali, si lazima afike ofisini

    Baada ya Mdau kuandika hoja akieleza ~ MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). MWAUWASA: Kuhusu suala la maunganisho mapya ya huduma ya maji, kwa sasa Mamlaka imeboresha zaidi na Mteja anaomba...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Huduma ya maji imerejea Nyegezi, kulikuwa na changamoto, Mamlaka inaomba radhi kwa usumbufu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa majibu kwa hoja ya Mdau ambaye aliandika ~ Waziri Aweso, hamishia ofisi yako Mwanza, tena kaa Nyegezi! Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa tete kwa takribani mwezi mmoja MWAUWASA: Tunapenda kueleza kuwa hali ya huduma ya maji...
  5. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Mwauwasa sisi ni binadamu sio ngamia

    Inasikitisha Sana kwa Ukanda Wa Pembezoni Mwa Ziwa Viktoria Kuwa na Tatizo sugu La Huduma ya Maji, Mkoa Wa Mwanza Imekua Si Changamoto tena imekua Kama ni Wajibu wa Wananchi Kukosa Huduma Hii Muhimu Kwa Wiki kadhaa au Miezi,Bahati Mbaya Hakuna Taarifa zinazotolewa Wazi kwa Umma Kama kutakua na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania KERO Responded MWAUWASA na urasimu unaofikia kiwango cha juu

    Wakati Dunia ikibadilika kwa kasi kwa kujali muda zaidi na kupunguza kutumia muda mwingi kufanya jambo fulani, taasisi nyingi za umma bado ziko zama za mawe. Ndugu zangu hawa wa Mwauwasa, wanadai kwenda na teknolojia lakini, sijui wanachofanya kina makusudi au hawajui. Pia soma ~ MWAUWASA...
  7. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri Aweso Mfute Kazi Meneja Wa MWAUWASA.

    Mwanza. Naandika jambo hili nikiwa na hasira sana,juu ya kero ya maji katika jiji la Mwanza.Sote tunafahamu Jiji hili lina chanzo cha uhakika cha maji (Ziwa Viktoria) Sasa huu ukosefu wa maji kwenye baadhi ya maeneo unasababishwa na nini ? Si Machweo si Mawio,naona watoto wakiume nawa kike...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Msenyele Kuiongoza MWAUWASA

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemteua Mhandisi Leonard Msenyele kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). Mhe. Aweso amefanya uteuzi huo wakati wa kikao kazi na watendaji wa taasisi hiyo kilicholenga masuala ya utendaji ikiwemo utoaji wa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majibu ya MWAUWASA kuhusu kukosa maji kwa Wakazi wa Nyamhongolo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini? UFAFANUZI WA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza katika...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana maji Kazamoyo, Kirumba na Ilemela, MWAUWASA yasema "Pole Mdau kwa changamoto iliyojitokeza eneo lako"

    Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, ufafanuzi umetolewa na MWAUWASA. Majibu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana Mtaa wa Ellys Hoteli - Nyegezi, MWAUWASA yasema "Miundombinu binafsi ya Mteja inaweza kuchangia kukosa"

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka. MAJIBU YA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini MWAUWASA hivi karibuni imekuwa ikituma bili za maji bila kuonesha idadi ya units zilizotumika?

    Katika miezi ya hivi karibuni, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imekuwa ikituma bili za maji kwa wateja bila kuonesha idadi ya units zilizotumika kwa mwezi husika. Hali hii inatia wasiwasi, hasa kutokana na changamoto za upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo...
  14. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania KERO Responded MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji

    Ni mwezi sasa Wilaya ya Nyamagana, maeneo ya Igoma, Machinjioni, Muhandu-Kisiwani, hatuna maji. Binafsi nimechukua hatua ya kuwapigia simu, wanasema machine ya ku-pump maji ya Mabatini imeharibika. Nikawauliza mna mpango gani? Wakasema hiyo ni changamoto. Yaani kiufupi na wao wanaonekana hawana...
  15. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Maji yanayosambazwa na MWAUWASA ni ya kuchimba?

    Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba, Kama Mkoa ulio Mkabala na Ziwa Maji yanatoka mala 2 kwa Wiki Je Mikoa Ambayo iko Mbali na Ziwa Huduma Hii Muhimu Si ndo hovyo Zaidi, Mkishindwa Kutimiza Wajibu Muwe Na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji

    Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini?

    Wakazi wa Nyamhongolo (Nyangugano) sasa tunapitia shida kubwa ya maji kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Tangu 27/7/2026 mpaka leo 13/8/2026 hatupati maji, na kibaya zaidi hatuambiwi tatizo ni nini. Wamekaa kimya tu, tumejaribu kuwapigia...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Aweso awasimamisha kazi Viongozi wa MWAUWASA, asema mafundi wamejaa rushwa

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Nelly Msuya ambaye anatarajiwa kukamilisha majukumu yake wiki mbili zijazo. Aweso...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza kuna shida kubwa sana ya maji, na MWAUWASA hawafanyi kitu chochote

    Mwanza tuna shida kubwa ya maji ambayo imekuwa ikidumu kwa miaka mingi, lakini haiongelewi kabisa. Kwa mfano, maeneo ya Kirumba, maji hutoka mara moja tu kwa wiki, na mara nyingi hutoka usiku wa manane. Mbaya zaidi, bili za maji zinakuwa kubwa kwa sababu tunalazimika kuacha mabomba wazi kila...
Back
Top Bottom