Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa.
Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje ndipo wananchi wapate huduma ya msingi ya maji.
Wananchi wanateseka, wanatumia muda na gharama kutafuta maji wakati huduma hii inapaswa kupatikana kwa uhakika. MWAUWASA, amkeni na chukueni hatua za haraka. Tunataka majibu ya wazi: Tatizo ni nini, na maji yatapatikana lini?
Pia soma ~ Kukosekana Mtaa wa Ellys Hoteli - Nyegezi, MWAUWASA yasema "Miundombinu binafsi ya Mteja inaweza kuchangia kukosa"