stendi ya nyegezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. econonist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kamati ya Jaji Lila anzieni kwenye Hospitali ya Kamanga na stendi ya Nyegezi. Pale ndio mauaji mengi yalifanyika

    Wakati wa mauaji ya October 29 yanafanyika jijini Mwanza, nilibahatika kuwepo Mwanza, Kuna shughuli nilikuwa nafanya na nilifikia Lodge Moja karibia na stendi ya Nyegezi. Nikipata nafasi nitaelezea jinsi Hali ilivyokuwa hiyo tarehe 29 na 30 October. Maana nilichomoka Mwanza tarehe 1 Novemba...
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji

    Jamani MWAUWASA, mnashida gani? Wakazi wa Mtaa wa Ellys Hotel, Nyegezi – Mwanza, pamoja na maeneo ya jirani kama Stendi ya Nyegezi na maeneo mengine ya jirani, tumekosa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Hii si hali ya kuvumilika tena. Msifanye kazi kwa mazoea wala kusubiri hadi Waziri aje...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva wa bajaji wafunga stendi ya Nyegezi baada ya madai ya kuzuiwa kubeba na kushusha abiria nje ya stendi

    Madereva wa bajaji wamefunga stendi ya Nyegezi, jijini Mwanza, hali iliyosababisha kusitishwa kwa shughuli za usafiri ambapo hakuna gari linaloingia wala kutoka. Tukio hili limetokea baada ya madai kuwa baadhi ya migambo walitumika kuwanyanyasa madereva na kuzuiwa kubeba na kushusha abiria nje...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Vyoo vya Umma katika Stendi ya Nyegezi Mwanza havina maji zaidi ya mwezi

    Vyoo vinavyotumiwa na abiria pamoja na watu mbalimbali ndani ya Stendi ya Mabasi ya Nyegezi Jijini Mwanza, havina huduma ya maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja, taarifa ikiwa ni kwa mujibu wa wafanyakazi na Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao ndani ya stendi hii ya kisasa...
  5. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii avutiwa na Kamati ya Ulinzi wa Mtoto Stendi ya Nyegezi, Mwanza

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu amekagua shughuli za kamati ya ulinzi wa watoto wanaoishi mazingira magumu/ mitaani iliyopo stendi Kuu ya Mabasi Nyegezi jijini Mwanza. Mdemu amekagua shughuli za kamati hiyo Jumanne Agosti...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Stendi mpya ya mabasi Nyegezi yaanza kazi, ni zaidi ya Airport

    Stendi mpya ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza imeanza kazi rasmi leo tarehe 5/6/2023 huku uzuri wake ukiwaacha hoi wananchi na kusema iko vizuri zaidi ya viwanja vingi vya ndege. Ikumbukwe jiwe la msingi la ujenzi wa stendi hii liliwekwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli...
Back
Top Bottom