Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Madereva wa bajaji wamefunga stendi ya Nyegezi, jijini Mwanza, hali iliyosababisha kusitishwa kwa shughuli za usafiri ambapo hakuna gari linaloingia wala kutoka. Tukio hili limetokea baada ya madai kuwa baadhi ya migambo walitumika kuwanyanyasa madereva na kuzuiwa kubeba na kushusha abiria nje ya stendi.