Mhe. Waziri wa Maji Salaam. Hapa Mwanza Mamlaka yetu ya maji inaitwa Mwauwasa. Katika jiji la Mwanza maeneo mengi yanakosa maji licha ya kuwa hatua chache tu toka Ziwa Victoria (a stone throw away) kwa lugha ya kimombo.
Mfano hai ni eneo la Mwananchi leo ni siku ya tano hatuna maji na hata...
Toka mmetoa hilo tangazo zaidi ya wiki 2 zilizopita, Kuna maeneo ya Jiji la Mwanza maji hayajawahi kutoka kabisa hata tone.
Hivi kweli tumefika Huku? mnategemea watu wanaishije mjini tena bila maji?
Inachukua muda gani kutengeneza Pampu ya maji? Kwenu hii sio dharura?
Nadhani mnahitaji...
Nyumba yangu iko umbali wa mita 150 kutoka bomba kubwa la maji lilipo. Nimeenda ofisini nikaambiwa nitoe 1.3M ili niweze kupaitwa huduma ya maji.
Nikajiuliza kwanini gharama kubwa namna hii au kwakuwa maji ni uhai. Nikaondoka zangu huku kichwani nikiwa na mawazo ya kuendelea na ule mfumo wangu...
Habari wanajanvi, Mimi ufanya shughuli zangu za umechinga japo ni msomi mwenye shahada ya ualimu.
Shughuli yangu unifanya kuzunguka huku na kule nikitafuta riziki ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijawahi kuona mamlaka ya maji Mwanza wakipeleka maji maeneo mapya ambapo wananchi wamejega kwa wingi...
Kwanza nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo ni tunasherehekea miaka 60 ya kumbu kumbu ya uhuru wetu. Kwa masikitiko Mhe. Waziri hapa Mwanza maeneo ya Mwananchi tuna siku ya tatu hakuna tone la maji bila hata MWAUWASA kutoa taarifa.
Nimesikia likisemwa kuwa wewe ni kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.