Kukosekana maji Kazamoyo, Kirumba na Ilemela, MWAUWASA yasema "Pole Mdau kwa changamoto iliyojitokeza eneo lako"

Kukosekana maji Kazamoyo, Kirumba na Ilemela, MWAUWASA yasema "Pole Mdau kwa changamoto iliyojitokeza eneo lako"

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, ufafanuzi umetolewa na MWAUWASA.
50052841_981970875335808_2925730682653114368_n.jpg
Majibu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)...
Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza katika eneo lako, maeneo hayo yameendelea kupata huduma kila wiki kadri migao inavyotekelezwa, wakati mwingine changamoto katika miundombinu binafsi ya Mteja hujitokeza na kusababisha akose huduma.

Tafadhali wasiliana nasi kwa Namba 0800110023, Bure ili tukufikie kwa ufuatiliaji wa karibu.
 
Back
Top Bottom