Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa majibu kwa hoja ya Mdau ambaye aliandika ~ Waziri Aweso, hamishia ofisi yako Mwanza, tena kaa Nyegezi! Hali ya upatikanaji wa maji imekuwa tete kwa takribani mwezi mmoja
MWAUWASA:
Tunapenda kueleza kuwa hali ya huduma ya maji...
Hivi karibuni mamlaka ya maji mkoa wa Mwanza (Mwauwasa) walitoa taarifa ikihusisha hitilafu ya umeme kwenye vituo vya kuzalisha na kusambaza maji, changamoto iliyosababisha ukosefu mkubwa wa maji kwa takribani wiki tatu. Mamlaka hiyo iliujulisha umma kuwa inashughulikia changamoto husika kwa...
UPUNGUFU WA UZALISHAJI NA USAMBAZAJI WA MAJI
09.06.2026
MWAUWASA inasikitika kuwataarifu wateja wake kuwa, kumekuwa na upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, kutokana na kuyumba kwa nishati ya umeme kwenye vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji.
Hali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.