Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

Bwege2030

Member
Joined
May 10, 2025
Posts
97
Reaction score
197
1000201288.jpg

INAUZWA! KABATI YA KIOO YA ALUMINIUM

Ngazi 3, Milango 2 Kubwa ya Kuteleza
Muundo kama huu kwenye picha, lakini yangu ni kubwa zaidi!
Inafaa kwa: Duka la Dawa, Stationery, Vipodozi, Urembo

Bei: Tsh 420,000 tu (bei ya kuongea kiasi)
Mahali: Makere, Kasulu - Kigoma
Mawasiliano: 0614204155
WhatsApp: 0776932790
Muundo safi, kama mpya!

Gharama za Delivery ndani ya Tanzania bara ni juu yangu,kama ni Zanzibar Gharama ni Kwako
 
Mpaka watu wa Kigoma mmeanza kuuza vitu Online 😁
 
Back
Top Bottom