Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais.
Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais?
Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli ni kwamba laptop hizi zimekuwa na changamoto kubwa.
Hadi sasa, laptop yangu imeharibika licha ya...
Anonymous
Thread
changamoto
laptop
mapinduzi
mapinduzi ya zanzibar
serikali
serikali ya mapinduzi
zanzibar
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wasilisho kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya dawa na hivyo inakuwa kero kubwa kwa wanaoenda kupokea kwa kuwa zinakuwa hatarini kuharibika.
Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Hospitali ya Rufaa Kitete mkoani Tabora haina vifungashio...
Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ijitafakari kwa kuwa inawakwamisha Wananchi wengi wa maeneo hayo, Mamlaka hiyo...
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya.
Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi.
Maji ni...
Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani .
Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa.
Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira miaka minne.
Nipo tayari kuanzia chini , nahitaji Ajira ya office attendant .
Nina Cheti cha form...
Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua tunatumia mwanzo maan hiyo haikua na shida yeyote baada kuapdate hii mpya ndo tunakutana hizo changamoto
Kwa namna ninavyo mfahamu Boniface mwabukusi itapendeza sana kama akawa mgombea urais wa chadema.
Aina ya misimamo yake na ujasiri wake wakiwa jukwaa Moja wanaweza kumachi vizuri sana na Tundu lisu.
Lakini pia hii inaweza kuiongezea chadema kura za nyanda za juu kusini.
Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
Tanzania imefanya hatua kubwa kwa kuongeza bajeti ya kilimo hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.3, ikiwa ni ongezeko kubwa linalolenga kukabiliana na changamoto za mavuno zinazoikumba dunia. Hatua hii ni sehemu ya jitihada za serikali kuimarisha sekta ya kilimo, ambayo ni uti wa mgongo wa uchumi wa...
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni 18.94 za Marekani.
Katika mwaka uliopita, licha ya changamoto za nje na ndani, China ilifanikiwa...
Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko la ajira), ama wakiwa hawafahamu ajira portal ni kitu gani, ama wanashindwa kujisajili na baadhi...
Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini......
Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali.......
Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
Wakuu habari,
Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto sana, yaani hadi niiache ipoe kabisaaa... changamoto inaweza kuwa nini!?
Kuhakikisha mtoto wako halii usiku ni changamoto ya kawaida kwa wazazi wengi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa kuna mbinu zinazoweza kusaidia
Hakikisha mtoto ana ratiba ya kulala inayofuatwa kila siku. Mfano, kumnywesha maziwa, kumnawisha, na kumweka kitandani kwa wakati mmoja kila siku
Tumia...
Inakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana yaani unaweza kupokea message hata 20 halafu majamaa ukiyajibu yanakaa kimya hakuna kurudiaha jibu...
Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha Land Cruiser ya kuvutia—model GX 200, yenye injini ya Turbo Diesel 4.5L V8. Ni gari linayojulikana kwa...
Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii imefanya nikifungua fb nakutana na notifications nying upande wa messager, fb account hzo zimechat na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.