changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Changamoto ya PF3 kwa miaka 15+ [2008-2024] Tafsiri yake ni nini ?

    Habari za muda wakuu. Kwenye kupitapita humu mtandaoni nimekutana na uzi wa wadau mbalimbali katika nyakati tofauti tofauti Ukizungumzia upatikanaji wa huduma ya afya ambayo ni muhimu sana kwa majeruhi wowote iwe ni wa ajali,wizi, nk ambayo inalenga kuwapatia taarifa za majeruhi na tukio...
  2. W

    Mimi ni mwanafunzi Ufundi wa umeme wa magari. Changamoto nilizoziona mpaka sasa

    Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
  3. Megalodon

    Kwanini Pendekezo la Samia kwa Janabi linaweza kuwa ni changamoto?

    Ikiwa Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) atafariki kabla ya kuapishwa au kuchukua rasmi ofisi, taratibu zifuatazo zinafuatwa ili kuhakikisha uongozi unaendelea: 1. Uongozi wa Muda: Mkurugenzi Mkuu aliyepo madarakani anaweza kuendelea kushikilia nafasi hiyo kwa muda...
  4. Mzee wa Code

    DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
  5. M

    DOKEZO Tokea tarehe 19 Novemba, mgonjwa wangu ndio kwanza kafanyiwa UTRASOUND Muhimbili. Changamoto ni nyingi sana

    Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie. Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika. Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili atapata baraka tele kutoka kwa MwenyeziMungu. Nayasema haya kutokana na hali halisi. Mgonjwa kapewa rufaa...
  6. Roving Journalist

    Naibu Waziri: Poleni Wakazi wa Kitunda kwa changamoto ya umeme, kuna hitilafu zinazojitokeza katika Miundombinu

    Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole Wananchi wanaopitia kadhia hiyo. Mwanachama huyo alidai Wananchi wanapata wakati mgumu ikiwemo...
  7. MALCOM LUMUMBA

    Changamoto kubwa ya Kiusalama kwa Urusi na hatma ya Usalama barani Ulaya

    NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI. Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah kuondolewa nchini Syria na kurudishwa Lebanon kuzuia uvamizi wa Israel. Jambo hili limechangia kwa kiasi...
  8. Z

    Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

    Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa. Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado...
  9. Waufukweni

    LGE2024 Tabora: Maeneo Matatu Wilayani Uyui kurudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya changamoto kadhaa

    Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya uchaguzi na mwingine kupigiwa kura nyingi za hapana katika uchanguzi uliofanyika Novemba 27 mwaka huu...
  10. milele amina

    Tanzania: Maeneo ya Vyuo vya Elimu ya Juu na Changamoto za Mama Wanaolea Watoto Pekee( Single Mother)

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeona kuongezeka kwa idadi ya wanawake ambao ni mama wanaolea watoto pekee( Single Mother). Hali hii inaathiri jamii kwa namna nyingi, ikiwa ni pamoja na kiuchumi, kijamii, na kiutamaduni. Katika makala hii, tutajadili chanzo na sababu za ongezeko hili...
  11. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Viongozi Waliochaguliwa Wakatatue Changamoto Kwenye Mitaa, Vijiji na Vitongoji Vyao

    VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari amewataka Viongozi waliochaguliwa kwenda kuwafanyia kazi Wananchi kama walivyoomba na kuacha tabia...
  12. 3 Angels message

    Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas

    Salama wakuu Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja namba hazitoki Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata...
  13. J

    LGE2024 Wananchi washindwa kupiga kura baada ya kutoona majina yao kwenye ubao ya wenye majina ya waliojiandikisha

    Siku ya jana jumatano ya tarehe 27/11/2024 ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi mdogo Tanzania nzima wapiga kura wamelalamika kwamba waliteseka kutafuta majina yao ili wakapige kura pia wamesema kuna baadhi ya majina hayakuwepo hivyo imepelekea watu wengine kushindwa kupiga kura Serikali...
  14. Waufukweni

    LGE2024 ACT Wazalendo waitupia lawama CCM, changamoto Uchaguzi Geita

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura. Akizungumza katika kituo cha kupigia...
  15. RIGHT MARKER

    Pengine watu wengi hukosa haki zao kwasababu ya changamoto za majina ya NIDA

    📖Mhadhara (68)✍️ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
  16. Waufukweni

    LGE2024 DC Chamwino: Hakutakuwa na viashiria vya changamoto ya Usalama wakati wa Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema kuwa hali ya usalama ni shwari katika vituo vyote vilivyopo katika vijiji 107 na vitongoji 813 katika Wilaya Hiyo ya Chamwino Mhe. Mayanja ameyasema hayo Leo Nov 27,2024 wakati akizungumza na Wasafi Media kwenye kituo Cha kupiga kura Cha...
  17. ALENI WAKALA

    Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina changamoto ya...
  18. ALENI WAKALA

    Changamoto ya usikuvu na mapambano katika soko la ajira

    HABARI WANAJAMII!! Naitwa ALLEN WAKALA, nimehitimu shahada ya Utawala (Public administration) KATIKA Chuo Kikuu mzumbe. Nipo Dar es Salaam, ninapambana na changamoto ya maisha kama kijana anayejitegemea. Hata hivyo, ninakutana na kikwazo kikubwa kinachohusiana na afya yangu, kwani nina...
  19. A

    KERO Ucheleweshaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa

    Ucheleweshaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na kuwasilisha viambato vyote vya msingi na ziada kwa njia ya mtandao, kisha kulipa shilingi 20,000/-...
  20. A

    Ucheleweshwaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa

    Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na kuwasilisha viambato vyote vya msingi na ziada kwa njia ya mtandao, kisha kulipa shilingi 20,000/- za Kitanzania kama ada ya huduma. Siku iliyofuata, tarehe 24...
Back
Top Bottom